Kama kweli JK ni mchapakazi mbona kampeni zake ni ghali kuliko zote kihistoria?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Mimi ninaamini usemi usemao:-

"CHEMA CHAJIUZA NA KIBAYA CHAJITEMBEZA."

Swali linalonila kichwa ni hili...............Hivi JK kama kweli ni mchapakazi na kuna mengi ametufanyia kwwa miaka mitano iliyopita si tungelimtarajia sisi tulionufaika na utawala wake tumtangaze lakini jitihada hiyo ametunyang'anya na amejitwisha KWA KULIBINAFSISHA jukumu letu kwake BINAFSI na familia yake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

HIVI NI KWELI SISI NDIYO tulionufaika na miaka yake mitano madarakani au ni HIYO familia yake na hao wachache ambao wanampigia debe?

Na kwanini kampeni yake ya kutetea ugali wake na familia yake WA URAISI imekuwa ni ghali kuliko zote katika historia ya nchi hii?

Kuna nini? Na kulikoni?

KWELI CHEMA CHA DR. SLAA CHAJIUZA NA KIBAYA CHA JK CHAJITEMBEZAAAAAA
 
Bwana mkubwa uchapakazi wa rais is nat invesly propotn na gharama! Haina maana kwamba ukispend less ndo mchapakazi na kama utaspend sana ndo KILAZA sio kweli.!
Kama unakumbukumbu rais OBAMA kwenye kampeni za urais ndie alikua na hela nyingi na kuspend zaidi but utendaji wake unauonaje?
 
ile ni bajeti imewekwa itumike acheni jamani itumike, mbona CHEDEMA wanatumia helikopta watu hawasemi ila wakitumia CCM tatizo watanzania ifike wakati tubadilike jamani, kila chama kina bajeti yake na taratibu zake.
 
Mwaka huu sijui hawana za EPA, MEREMETA na TANGOLD, na RICH wa Monduli. Kinana anasema eti wametumia pesa kidogo kuliko miaka mingine. Sasa naamini ukiwa na dhambi moja hutaogopa kutenda nyingine hata kama unajua ni dhambi, kwa sababu wana dhambi ya wizi na dhuluma,wanaona kusema uongo ni sawa, Mungu Tunusuru.
 
Bwana mkubwa uchapakazi wa rais is nat invesly propotn na gharama! Haina maana kwamba ukispend less ndo mchapakazi na kama utaspend sana ndo KILAZA sio kweli.!
Kama unakumbukumbu rais OBAMA kwenye kampeni za urais ndie alikua na hela nyingi na kuspend zaidi but utendaji wake unauonaje?

Usimlinganisha Obama na haya majizi yako... Obama alichangiwa na wananchi ktk utaratibu wa uwazi na ukweli, mkewe na watoto walitulia home hadi siku ya kuapishwa. Na pia Obama alikuwa anagombea kwa mara ya kwanza si ilibidi aingie gharama kujiuza kwa wananchi, wengi walikuwa hawamfaham. Cha kushangaza kwa huyu Kikwete wetu ndie rais wa nchi na kila mtu anamfaham kwa miaka mitano... Mazuri yake yangejitangaza yenyewe tu, familia ingetulia ikulu waendelee kula kuku. Kizuri Slaa (PhD) chajiuza, Kibaya Kikwete chajitembeza kwa kupora hadi mabango yanatotangaza biashara ili biashara hizo zikuze uchumi na kuweka mapicha yake utafikiri anagombea mara ya kwanza, tena kwa chama kisichojulikana
 
uzuri ni kwamba mwenyewe anajijua kuwa ni msanii kwa hiyo anajaribu kutufanyia usanii wake lakini HATUDANGANYIKI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom