Kama kukasirika kasirika tu

mume amemuwekea mama yake mtu wa kumsaidia mama yake? Au mke ana jukumu la kumtunza yeye, watoto na mama mkwe?


Ila kuita mama wa mwenzie mzigo? Hapana haikubaliki....
 
amwache aondoke ...
huyo mwanamke hafai kabisa..
akafie mbali huko....
NANI KAMA MAMA
Vipi kama ingekuwa mama wa mke na mume angemwambia hayo aliyoandika kwenye msg
naungana na wewe laiti kama ndio angekuwa mke wangu nampa likizo isiyokuwa na malipo
na mtafuta ndugu au jamaa kama ikishindikana namuwekea dada wa nyumbani amuhudumie mama
uku utaratibu mwengine ukiendelea wa kuziba nafasi yake
 
mkiletewa wanawake toka nyumbani hamtaki, mnataka hawa walioiva na makopo ya poda , hili jibu. huyo hakufai wala usisite mwache aende zake. kumbe bila huyo mama ye angekujuaje. mtimue haraka sna, ita ndg yako wa kike akusaidie wakati ukitafuta ufumbuzi wa kudumu.
 
pole yake..jaman, ni ukwel usiopingka kwamba wazaz ni Mungu wa pili (mimi naamin hvyo) pia hakuna kama mama na watu waingiapo ktk ndoa wanakubal kuish kwa raha ila kwa "shida" ni shda kukubaliana. Wangap wanapenda matatzo? Nani yupo tayar kuipoteza furaha? Kwa wanandoa hiki kipengele ni kigumu zaid ndio maana "mawasiliano" yakawekwa ili myafaham matatzo kabla hayajawa tatzo. Kwa maana hyo huyo mume angalitambua tatzo kabla ya huu mfarakano itamsaidia vyema.....ukindu ni vyema kuchimbua mizizi.,..
 
Huyo mwanamke hata kama ameelemewa vipi, ana roho mbaya!

Amfukuze kabisa aondoke. Hafai.
 
NANI KAMA MAMA

Kataa...Kubali: Kuna mwanamke mmoja tu katika dunia hii ambaye amewahi kukupenda kabla hajajua wewe ni mwanamke/mwanaume, ni mfupi/mrefu, ni mweupe/mweusi, ni mnene/mwembamba, kilema/mtimilifu, umesoma/hujasoma, una hela/huna, unahonga/bahili...you are good on bed/not..romantic/not......mwanamke huyo anaitwa mama! Anakupenda unconditionally.

Hawa wake/wachumba/vimada/marafiki wa kike..tunakutana nao ukubwani tukiwa more or less a 'complete package', hivyo wanapenda wanachokiona na kukihisi..tofauti na mama ambaye anapenda hata kabla hajaona (bali anachohisi). Na ndio maana kuna mvutano kati ya baadhi ya wake/wanawake (naweza sema wengi) na mama wakwe zao. Jambo ambalo hulioni (sana) kati ya waume/wanaume na wakwe zao.
 
Huyo dada kakosea lakini na hili tuliangalie na upande mwingine maana kuna wanaume wengine wanahisi mke ndo punda, hata kanga za mama yake hafui au hata ajitolee kusafisha chumba anacholala mama yake ili tuone anakumbuka alinyonya hilo ziwa basi. nafikiri tungepata habari ya upande wa pili tujue


Kwa huyu mwanamama tunayemjadili hapa hajawahi hata siku koja kufua nguo za huyo mama au kusafisha chumba chake kwani kuna binti ameajiriwa na mumewe kwa ajili ya kumhudumia huyo mama muda wote. Yeye anachofanya ni kumsimamia huyo mhudumu ili kuhakikisha huyo mama anakula, kufuliwa nguo, kusafishiwa chumba na huduma nyingine.
 
mume amemuwekea mama yake mtu wa kumsaidia mama yake? Au mke ana jukumu la kumtunza yeye, watoto na mama mkwe?


Ila kuita mama wa mwenzie mzigo? Hapana haikubaliki....

Yupo binti anayemtunza mama mkwe muda wote. Hivyo kimsingi huyu mke hashiriki moja kwa moja kwenye shughuli za kumpikia, kumfulia nguo, kumsafishia chumba etc. Yeye ana-provide supervision kuhakikisha huyo binti wa kazi anatimiza wajibu wake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom