Kama kosa langu ni kumpenda King'asti basi Paw nipe permanent ban!

kijana sumu haijaribiwa kwa kulambwa....

Na nikiwa msemaji wa kamati ya mahusiano jf, kamati imeona una hatia ya kutaka kuingilia penzi la Paw na King'asti,

kamati pia imekukuta na hatia ya uchochezi, unamchochea Paw atumie mamlaka yake alopewa na jamhuri ya jf vibaya....

Kutokana na sababu hiyo umehukumiwa kutumia jukwaa la siasa mpaka utakapokufa kwa stress
 
Last edited by a moderator:

mmh mbona unanitishia hivo,wala hata siogopi
 
Baba watoto, achana nae huyu zimemfyatuka. Atatuona hivi hivi. Akiona vinaelea hajua vimetundikwa eeh! Wala usimtwange ban, muache ili atuone tunavyojiongeza mjini hapa.
Hahahaha naona unavijaribu vishawishi...
Wewe najua nikikupiga ban ya kutokuja kwangu mwaka mzima lazima utalala viambazani...
 
Shemeji, wewe riraksi tu. Hana nyimbo huyu,niamini.
Mi nakuangalia tu hapa

natanguliza salamu za rambirambi. Naomba mnistue nishone sare ya msiba, na Madame B akileta sun goggles aniletee mbili, moja ya mazishi na ya arobaini.
kijana sumu haijaribiwa kwa kulambwa....

Na nikiwa msemaji wa kamati ya mahusiano jf, kamati imeona una hatia ya kutaka kuingilia penzi la Paw na King'asti,

kamati pia imekukuta na hatia ya uchochezi, unamchochea Paw atumie mamlaka yake alopewa na jamhuri ya jf vibaya....

Kutokana na sababu hiyo umehukumiwa kutumia jukwaa la siasa mpaka utakapokufa kwa stress
 
Last edited by a moderator:
Hahaha, huyo ni babu yangu wa umang'atini wakati tumempelekea mtoto na Paw akawachinjia tembo. Cjezeiya kisusio cha tembo wewe?
mmmmh!!!
kwahiyo huyu ndo Paw akipiga kisusio ...
picture-5-20-tm.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mbona nimeshamsemelezea! PAW anajiamini, ndo wala hahitaji kujibizana wala kupiga ban. Atapambana na wangapi? AshaDii, njoo unitetee wifi yangu, mke mwenza anaharibu hapa.

Wifi huu muziki ulikuwa mzito! Hasa ukizingatia nina mawazo kakako kenda kutatua mgogoro wa mpaka wa Malawi na sina fidbak. Niliona bora tu nimwambie kaka Paw aje amalize mwenyewe! Lol. So far naona issue inakuwa resolved.
 
Back
Top Bottom