Kama Kongosho kala ban, ya kwangu iko njiani kabla ya Pasaka.

Status
Not open for further replies.
kwa wanaopenda mult id,s fuata ushauri huu!ukiregister new id usitumie same email!kwenye data sorting wanaweza kuunganisha details zote zilizofanana!ni kama unavyo-google zinakuja habari zote ambazo neno uliloweka lime-exist!
 
mkuu mtalimbo!oh sorry mtalingolo!ungekuwapo toka jana hapa usingeuliza!maeneo yote unayomuona kongosho leo jana yalionyesha id nyingine kong's bunsen burner!rejea post ya aspirin kwa ufafanuzi zaidi hapo juu

Hapo aim ya Mods kama nilivyoifikiria hiyo makitu wameifanya hivyo ni Kama kumuumbua ! Yaani ni kama aina ya adhabu kwa waumini wa mutiple
 
Mtambuzi family, hebu nipe walau two hints utambuaji wa muandiko !
Note : for Securico matters, nipe hizo reason sluu Pm

mkuu,kuna post nilimwambia kong's bunsen burner "you sounds like Kongosho,nakuangalia kwa ukaribu sana" na badaye imedhihirika ni kweli!haina haja ya kuficha,kongosho feature yake kubwa aki-reply,quote anaiweka chini,alichosema kinakaa juu!it was the same with Kong's bunsen burner
 
mkuu,kuna post nilimwambia kong's bunsen burner "you sounds like Kongosho,nakuangalia kwa ukaribu sana" na badaye imedhihirika ni kweli!haina haja ya kuficha,kongosho feature yake kubwa aki-reply,quote anaiweka chini,alichosema kinakaa juu!it was the same with Kong's bunsen burner

kwa hiyo kila mtu ana feature zake,unatakiwa ujijue ndio utaweza kuzificha machoni pa members!mf mimi feature yangu kubwa nikianza kupost utakuta kila mara post zangu si chini ya 3 zimefuata mfululizo!thats my feature and i know!somebody please say "yes..you have that feature"
 
Nafikiri uvumilivu ndio njia pekee ya kuepuka hilo kwani mijadala mingine usipokuwa na uvumilivu unaweza kusema japo neno moja likakupelekea kula ban. Ni matarajio yangu atajirudi hapo atakapoachiwa kwani a day without jf is so much boring.
 
kongosho is free at last,aspirin kamwekea mzamana,hivi tuongeapo wanaelekea zanzibar,wamechukua coasta air.
Ukitoa siri nyingine tena nakulima ban. Haijalishi hata kama wewe ni mod mwenzangu. Be warned....!
 
Hii kitu ukienda kule kwenye jukwaa la kupandishana hasira huwezi kuiepuka. Dawa ni kubakia hukuhuku ukija kule... Shika adabu yako!!
 
Hata mimi nilipoanza kusoma hii thread nimeshangaa, yaani Moderator anapigwa Ban?anaempiga Ban nani? KONGOSHO ni JF CHIT CHAT MODERATOR halafu afungiwe? Hata siku moja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom