kama kiongozi ukistaaf ndo hivi bora ujiari

Ndechumia

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,103
418
Wajaamen kweli magamba hawana shukuran au wanamagamba wanapopewa dhamana huwa wanajisahau wakidhani wataendelea kula jasho la wenzao milele.

weekendi hii nimekutana na aliekuwa mheshimiwa STEVEN MASHISHANGA dah! utamwonea huruma, anakula tope kama hana akili nzuri akiwa kavaa yeboyebo bila kujali anakanyaga maji machafu maeneo ya kaumba (Ilikuwa mchana)

Inavyoonekana hali yake ni mbaya nafikiri hakufikiri kama kuna maisha mengine baada ya kustaafu.

Tukiwa na nguvu tujue kuna maisha ya uzeeni.
 
Masishanga anavaa yebo , +tope!!!!!?????
Labda mwingine,rudi kamcheki vizuri sura
 
Wajaamen kweli magamba hawana shukuran au wanamagamba wanapopewa dhamana huwa wanajisahau wakidhani wataendelea kula jasho la wenzao milele.

weekendi hii nimekutana na aliekuwa mheshimiwa STEVEN MASHISHANGA dah! utamwonea huruma, anakula tope kama hana akili nzuri akiwa kavaa yeboyebo bila kujali anakanyaga maji machafu maeneo ya kaumba (Ilikuwa mchana)

Inavyoonekana hali yake ni mbaya nafikiri hakufikiri kama kuna maisha mengine baada ya kustaafu.

Tukiwa na nguvu tujue kuna maisha ya uzeeni.

Sasa wewe unashauri wote waibe sio.? Kwani huelewi huyo mzee alikatishwa ajirra baada ya kushabikia upande wa sumaye wakati wa mchakato wa kusaka urais kupitia ccm na baba Ritz alipochukuwa ndio alimtosa mazima.kwa hiyo hayo ni matokeo ya siasa za makundi..
 
Mlikuwa mnatafuta nini mitaa hiyo? au ndo nae alienda kunyosha mgongo kwa vimwana wa kaumba?
 
Huyu mashishanga si alikuwa na bifu na MKULU... Duu!! Mkulu noma, anavisasi vibaya sana, unaweza kuta hata pension yake kamuondolea...
 
Watu wengi hatuchukui tahadhali ya kutosha kujiandaa kwa ajili ya maisha ya kustaafu/uzeeni. Maandalizi hayo yanatakiwa kuanza mtu akiwa kijana - mara anapoanza ajira/shughuli za kupata kipato.

Ni makosa kutegemea Pensheni tu kwa waajiriwa - kwani hiyo ni kiduchu mno.
 
Steven Mashishanga jina kubwa sana hilo,kwahyo unashauri na wabunge hawa waendelee kuiba?
 
Una simu ya tochi nini, si ungempiga picha kisha uitume jamvini ili tukuamini, hivi hivi haiaminiki yule si alikuwa raisi wa mkoa wa morogoro.
 
Back
Top Bottom