Kama kiongozi ajajua umuhimu wa kujikinga na ukimwi ana haja gani ya kuongoza??-mbowe

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Hii natumaini serikali imewakumbusha mbali kwa kweli
mh mbowe aliitoa hii majuzi wakati akilalama posho za serikali
na kusema inasikitisha kuona jamani kila halmashauri unakokwenda
unaambiwa ati mkurugenzi na watu wake kadhaa wameenda semina ya
ukimwi semina semina hivi mpaka leo semina za ukimwi aziishi ukienda
kwenye kukaua unakuta ameenda kwa mwaka zaidi ya mara 4 semina ya ukimwi jamani
kama kweli mpaka leo kiongozi uujajua kujikinga na ukimwi aa madhara yake
hata uende mara kumihutojua kamwe....nanukuu
mh mbowe
bigup kidume sijui ulikuwa wapi kipindi kile uko mjengoni
 
Back
Top Bottom