Kama kikwete ame mshindwa RA wananchi tuwatoe wote

Gaza

Senior Member
Nov 3, 2010
102
8
huu niwakati watanzani wakuonyesha kua tuna sauti na maamuzi kwenye nchi yetu,hii nchi imekua kama haina mwenyewe nchi ina tawaliwa na majizi raisi tuliye mpa dhamana ya kutuongoza yuko kimiya,sasa umefika wakati tuondoe woga tuikomboe nchi yetu vinginevyo majizi yatatumaliza kila siku tuna piga kelele za dowans kupanda kwa gharama za umeme ,ges mafisadi wanatuona wapumbavu kila siku wana panga jinsi ya kuharakisha malipo ya dowans .tusimame imara wa Tanzania tuna malizwa
 
Back
Top Bottom