Kama Kanisa limebomolewa kwa nini Hotel zilizojengwa karibu na bahari tena kwa kukiuka sheriii zisi?

Mboko

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
1,095
293
Naishangaa sana hii Serikali ya Kikwete kwa kubomoa nyumba ya ibada na waziri husika kutamka kuwa japokuwa Hotel zimejengwa kwa kukiuka sheria hazitabomolewa kwa nini?? na ni za kina nani?wakati kila leo hiyo hiyo serikali inawaagiza viongozi hao wa Makanisa na Misikiti kuombea taifa libaki na amani,swali ni je kwa sasa wale waumini wa kanisa lile la Kawe watakusanyika wapi kuombea taifa?Nafahamu wanaweza kuliombea taifa popote lakini kanisani palikuwa pahala pake hii serikali imechoka kila kona si PoliceCCM wanato mapovu ukija Ikulu na usalama wa taifa wote wamepooza mbaya so where are we going?
Kule zanzibar Makanisa yalichomwa hakuna waliochukuliwa hatua,Dr Ulimboko kateswa almost kufa leo hii Kova anasema wamemkamata mmoja wa watesaji hawa jamaa wanaigiza sinema si bora watuambie walimtuma yule jamaa kule kanisani ili aigize kuwa ndio mtesaji ati Kova anasema hawafahamu wanzake wala bosi aliyemwagiza/kumkodisha kwa mateso yale hii kweli ni sinema ya bure halafu ati tunasema tuna jeshi la police #$^%@#@%&^&mo..fuc..ker
 
Mkuu tupe more details tofuatilie hili swala.

Jina la Kanisa.

Mchungaji wake Nani.

Lini lilibomolewa.

Waumini sasa wapo wapi, et al
 
habari za makanisa aah! wakwanza kuzishobokea wakati za upande wapili unazifitini wewe ni m***** kweli kweli! hilo kanisa la freemanson! halichangii kipato cha nchi! so,acha livunjwe tu! kasalie barabarani
 
alafu we ni box! heading ni kanisa na hoteli! sasa jina na habari za kamanda(mwanaharakati) wetu dr.uli unaziingiza nini! yani umejaza mautumbo kibao tofauti na ulichotakiwa kutufikishia! wewe ni m****** kweli kweli!
 
Kanisa gani hilo halifuati taratibu za ujenzi? Waumini wake linawafundisha nini kuhusu utii wa sheria? Hata ningekuwa mimi ningeaacha hoteli maana wamiliki hawajui walitendalo wanatafuta pesa bila kujari sheria lakini sio kanisa ambalo msingi wake na kazi yake kuu ni uadilifu, maadili na utii.

Sio mambo yote yakupinga eti kwa kuwa yamefanywa na serikali try thinking outside the box hapo tutajenga jamii bora. Maana siku hizi makanisa mengine hayana tofauti na vitega uchumi vingine kama hotel wote wanasaka pesa na hawataki kufuata sheria serikali siogope iwashikishe adabu kwa makosa yao.

Kwa jinsi serikali ilivo fanya naona sawa maana ITIFAKI IMEZINGATIWA.
 
Back
Top Bottom