Moseley
Senior Member
- Jul 10, 2010
- 187
- 93
Kama kweli Kikwete anaipenda Tanzania, anatakiwa amuunge mkono Dr. Slaa.. Hakuna ubishi, Dr. Slaa ni zaidi ukilinganisha na JK.. Sasa kwa sababu kapatikana rais makini, inabidi yeye kama mmoja ya watanzania, amuunge mkono Dr. Slaa ili aingie Ikulu, atakuwa ametimiza wajibu wake wa kulipenda taifa kwa dhati...
Nawasilisha..
Nawasilisha..