Kama Itikadi sio sababu ya wewe kujiunga chadema, Jiunge kwa fasheni

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
CHADEMA ndio style mpya, Ni kweli pia kwamba chadema ni chama makini, lakini chadema si chama makini kwa watu makini tu ila kwa watu wote.

Watu makini wote wako CHADEMA, kama nawe ni makini chukua kadi yako leo, lakini kama si makini sana kwa mambo ya siasa, usihofu chukua tu kadi yako bse CHADEMA ndio style ya kisasa, wajanja wote wako chadema, kuwa ccm ni sawasawa na kuvaa chachacha au vip wakati sandals na boxer za maana zipo
 
Back
Top Bottom