Kama ingekuwa ni wewe......??!

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,597
5,788
Hebu fikiria, umetoka kazini. Ile unafika nyumbani unamkuta mkeo anamtukana mama yako mzazi i.e aliyekuweka tumboni miezi tisa.

Anamtukana matusi ya nguoni kama shenzi, mjinga, huna akili, mshamba n.k.

Je ungeanza kwanza kutafuta chanzo cha ugomvi au ungemfumua mkeo?.
 
kwanza naanza kijizabua mwenyewe makofi maani ni ujinga wangu ulionifanya nioe mwanamke asie kuwa na adabu.
 
Siungi mkono hoja ya kupiga, ila suala la kumtukana mama hata kama mama ni mkorofi namna gani sidhani kama ni la kiungwana. ila nafikiri ni busara kuwasikiliza mmoja mmoja kujua chanzo cha tatizo then kutumia busara zaidi kutatua ugomvi badala ya kutumia nguvu.
Ila ukikuta hali kama hiyo ujue wazi kuwa huyo mkeo hana adabu hata kidogo, hivyo hatua za makusudi ni lazima zichukuliwe mapema. Ugomvi na mama mkwe si tiketi ya kumtolea matusi ya namna hiyo hata kidogo.
 
Horsepower
I halfly agree with what you saying. First thing to do is , try and find out why or what happened. Ila kwa hapo nilipo bold, hapana kwa kweli. Jamani people need to realize that, among all other things mke is a human! and that all human beings have a limit! Most importantly there is no telling the outcome when pushed beyond it!!So just because huyo mwanamke kamtukana mama mkwe does not necessarily mean "amekosa adabu"

Mzee
Pole but do find out the reason behind! No one, wants mzazi wake atukanwe for any reason but mama mkwe wengine kwa kweli they do ask for it. Na huu ni wito wangu kwa wanajamii, if you know your mama and your spouse hawapatani pls pls make it your priority to ensure they do not cross paths if they need not be instead of kulazimishia mambo the african way.
 
Kumpiga mwanamke hakutokufanya uonekane mwanamme,unamkataza mkeo hata kwa sauti ya ukali ili awache kugombana na Mama,
halafu ndio unasikiliza kesi,sababu yeye pia mkeo hatopenda wewe ukiwa kama mume umtukanie mzazi wake hata kama mbaya vp,
hata kosa likiwa nila Mama yeye akiwa kama mke ni wajibu wake kumchukulia mkwewe kama anavyomchukulia mamake....asubiri akija mume walizungumze sio aanze kumsemea mbovu mzazi....
 
Siungi mkono hoja ya kupiga, ila suala la kumtukana mama hata kama mama ni mkorofi namna gani sidhani kama ni la kiungwana. ila nafikiri ni busara kuwasikiliza mmoja mmoja kujua chanzo cha tatizo then kutumia busara zaidi kutatua ugomvi badala ya kutumia nguvu.
Ila ukikuta hali kama hiyo ujue wazi kuwa huyo mkeo hana adabu hata kidogo, hivyo hatua za makusudi ni lazima zichukuliwe mapema. Ugomvi na mama mkwe si tiketi ya kumtolea matusi ya namna hiyo hata kidogo.

nimekupata mkuu.

Inahitaji ujasiri wa hali juu. Mama atukanwe halafu utumie busara za kusikiliza pande zote.

Hapo kosa kubwa ni kumtukana mama. Yaani aliyeniweka tumboni.
 
Kumpiga mwanamke hakutokufanya uonekane mwanamme,unamkataza mkeo hata kwa sauti ya ukali ili awache kugombana na Mama,
halafu ndio unasikiliza kesi,sababu yeye pia mkeo hatopenda wewe ukiwa kama mume umtukanie mzazi wake hata kama mbaya vp,
hata kosa likiwa nila Mama yeye akiwa kama mke ni wajibu wake kumchukulia mkwewe kama anavyomchukulia mamake....asubiri akija mume walizungumze sio aanze kumsemea mbovu mzazi....

umejaribu kumkataza kwa akili anazidi kutoa maneno ya ajabu. Anasema ooh unampendelea mama yako?. Imepanda imeshuka.

Hakyamungu unaweza ukaua. Muombe mungu yasikupate.

Wanawake wanakera jamani.
 
Unamfumua kwanza halafu akili ikaa sawa ndo unarudi kuuliza maswali!

mi nafikiri hiyo itakuwa ni njia rahisi sana.

Mkuu, mwanamke mliyekutana ukubwani anaweza kumtukana mama yako mzazi halafu usubirie suluhu.
 
Angekua mkeo anamtukana mama yake mzazi i.e aliyekuzalia mke, ungeona sawa?
Hata kama mama mkwe ama mzazi amekosea,kumtukana matusi ya nguoni ni makosa. Well,hata kama ni jirani tu. Alotangulia kuona jua si mwenzio
nimekupata mkuu.

Inahitaji ujasiri wa hali juu. Mama atukanwe halafu utumie busara za kusikiliza pande zote.

Hapo kosa kubwa ni kumtukana mama. Yaani aliyeniweka tumboni.
 
Nakaa kwanza naandika taraka zote tatu halafu nampa bonge la ngumi na makaratasi na wala simruhusu kuingia ndani
 
Pamoja na kwamba kamtukana mama yako, kumtia mkong'onto ndo kutayafanya hayo matusi yafutike?? Anyways, mimi kama mimi siwezi sema maneno kama hayo kwa mamkwe, ila kumbuka watu tunatofautiana na hasira haiandaliwi kwakweli thats why wengine wanadiriki kuprovoke!! Watulize na uzungumze nao as a mediator na sio mume au mtoto wa mama (though waweza mfeva kidogo mama ili kuondoa ile hali ya kufeel kudharaulika)!!! Ila mmh.......hayo maneno mazito sana aseee, kumwambia mama mkwe wako hivo, assume kama ni mama yako! Dah.......ladies kwani ni lazima tushindane na mama wakwe zetu??
 
Kwa kweli uamuzi ni mgumu but mimi nitampatia mbata za hatari hata nikimkuta anamtukana matusi ya nguoni beki 3 siwez kuyanyamazia ila sitampiga ila la mama nitamkomesha huo mdomo
 
Utanidai koka msisimko 1

Angekua mkeo anamtukana mama yake mzazi i.e aliyekuzalia mke, ungeona sawa?
Hata kama mama mkwe ama mzazi amekosea,kumtukana matusi ya nguoni ni makosa. Well,hata kama ni jirani tu. Alotangulia kuona jua si mwenzio
 
Hata kama mamayangu amekuudhi kiasi gani niache mwenyewe nitaongea naye na wewe pia nitakuachia mama yako ushughulike naye mwenyewe, mimi hapa nitakuadhibu siyo kukupiga bali bora yaishe nitapata mke mwingine ila siyo mama mwingine.. Kwa hyo kosa lako nikuto kushitaki kwangu kuwa mama yangu mpendwa amekukosea nini wewe mke wangu mpaka ufikie hatua ya kujichukulia sheria mdomoni. daaaah, mungu aniepushe, na ukifanya hivyo , ujue Ni huyo mama uliye mtukana ndo aje akuombee msamaha kwangu otherwise kushinei
 
dah!!!mambo mengine uwamuzii wake hujaa papo kwa paooo....kitu cha kuombea uowe mwanamke apende ndugu zako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom