Kama ingekuwa kinyume chake ingekuwaje?

Shenkalwa

JF-Expert Member
May 3, 2011
580
132
Wana JF heshima kwenu.

Nimejaribu kutafakari sana kuhusu hili tukio la mauaji katika mkutano wa CDM kule Arusha kwa jinsi lilivyotokea na kujiuliza swali hili kwamba hali ingekuwa vipi iwapo mambo yote haya yaliyotokea kwenye mkutano wa CDM yangetokea kwenye mkutano wa CCM. Mawazo yenu tafadhalini
 
Back
Top Bottom