kama huna dhambi fungua hapa

yaser

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
1,361
299
sasa ww unafungua hapa ndio kusema huna dhambi wakati unaonekana kila baya kwako ndio ikulu.fuata maelekezo bana
 
ngoja nisome salio langu kwanza la dhambi nijue limebaki kias gan,then ntarudi kufungua hii thread
 
Wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa mungu.. Verse from the bible.
 
Back
Top Bottom