Kama Hukutumia Hii Kitu Wewe sio mjanja bado!

Du!! umenikumbusha zile chu* za 007 zenye backol ya shaba na suruali za krimpulini zilizosukwa mifukoni arafu dem unazengea mwaka mzima kwa kuvizia njia anayopendelea kupita.Ama kweli tumepoteza uasili.
 
Mkuu Bujibuji umenikumbusha mbali! Nimekumbuka vile vitanda vya chuma: a.k.a BANKO. Vilikuwa na spring za chuma katikati. Vitanda hivi vilikuwa vidogo kweli kweli- 3ft!
 
nini kimbo,nimekutana na mafuta ya kula yanaitwa okay,tanbond, na gardenia
 
390903_323129897714527_100000525597189_1233296_720643457_n.jpg

mtaani kwetu walikua wanayaita mafuta ya maiti...maana uturi wake ulikua wanukia hadi kero
 
Iliitwa kanga bwana. siyo kwanga. yote mmesema ila mmesahau picha lazima zikapigwe studio ukiwa umeshika kiuno nyuma pazia jekundu au la bluu. na ua pembeni yako. lol nyimbo zetu zilikuwa za akina kilimanjaro jazz band na ottu jazz band.
Kumbe wewe pia wa zamani!
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom