Kama Hukutumia Hii Kitu Wewe sio mjanja bado!

Daaah! mkuu wewe ni noma. Yaani wakati huo utakuta kidume kimejiweka utuli wa YU h

alafu chupi kavaa V.I.P lo!! sasa hapo bahati mbaya V.I.P ikatike kwa chini, lazime uikamatie kifuani.
kweli maisha safari ndefu mmenikumbusha enzi zileee,sabuni za kodrai
 
390903_323129897714527_100000525597189_1233296_720643457_n.jpg

nimeyaona makopo 2 cjaya2mia ila ni longi sna
 
Umenikumbusha bendi za enzi zetu: Western Jazz (Saboso), Nuta, Kilwa, Dar Jazz (Majini wa Bahari), Tabora Jazz (Segere Matata) na nyingine. Enzi zile unasikiliza muziki kutoka Morogoro Jazz (Mbaraka Mwinshehe Mwaruka) na ule wa Juma Kilaza - hupati ukakasi wa masikio hata kama uko na mkweo. Lakini siku hizi mh!

Mbona umewasahau Jamhuri jazz na Atomic za Tanga !
 
katikati ya miaka ya 80 suruali za mchelemchele , mawingumawingu, na za michael jackson(zilikuwa na picha ya michael ya album ya BEAT IT). Pia viatu vya skuna. Tuliozaliwa bara wakati huo kuja dar ni kama kwenda mamton au south. tumetoka mbali aisee!
 
Wacha bana!
 
Back
Top Bottom