Kama hujui English unaweza kutongoza kweli?

Unajua ukimtamkia mrembo kuwa nimekumaind au nimekulove ina uzito zaidi kuliko ukisema nakupenda! unaelewa hili?

hhahah

baby I love you
baby i need you
baby i am so into you
baby you kill me soft
baby you drive me krazy
baby you heheheh
dada nakupenda
zinasound tofauti eeh
 
hhahah

baby I love you
baby i need you
baby i am so into you
baby you kill me soft
baby you drive me krazy
baby you heheheh
dada nakupenda
zinasound tofauti eeh
ZA KINDOA NDOA HIZO!mimi sizitumiagi,ukitumia madem hawakawii kuihamia kinyemela
 
hhahah

baby I love you
baby i need you
baby i am so into you
baby you kill me soft
baby you drive me krazy
baby you heheheh
dada nakupenda
zinasound tofauti eeh

kuna huu wimbo wa Tamia na Faboluos, nikiusikiliza tu roho yangu inakua kwatuuuuuuuuuuuuuuuuu nahisi kama wifi yako yuko pembeni yangu!!.
 
dada nakupenda
zinasound tofauti eeh

Ukiongea hivyo mrembo anajua unamshusha hadhi upo na duu inatakiwa baby gal i need you,
baby gal ur in bottom of my heart.....
hapo mbona mrembo unamchukua kiulaini kama unasukuma mlevi.
 
Sisi wengine hata kiswahili kinatusumbua, sijui hicho kithungu tutaanzia wapi!!

Nikitaka binti mrembo, basi straight ahead nammwagia pesa tu!! nakumbuka siku moja niliitwa na rafiki yangu mmoja pale Hongera Bar, Sinza. Baada ya kufika pale nikamkuta jamaa yuko na mrembo mmoja wa IFM. Kwa kawaida jamaa akiwa na mabinti basi kuthungu kingi (of course anakijua vizuri sana). Tatizo la jamaa ni mbahiri sana kwenye kuspend.

Mi nilipofika nikamwita mhudumu na kuagiza chakula na pombe zikaanza kumwagwa pale. Huku jamaa anamwaga ngeli, mi natoa pesa kuagiza vinywaji vya wote 3. Pole pole mrembo akaanza kuamisha attention toka kwa jamaa kuja kwangu. Baada ya pale tukaenda Ngwasuma, mi ndo nikalipa entrance ya wote 3 na drinks zote za ndani. Wakati huo wote jamaa anamwaga ngeli!! Huwezi amini mwisho wa siku nikakokota mrembo mpaka home na kujisavia!!!

Money rules guys!!!

hahah kweli brooklyn weye kidume, jamaa alidhani akitema yai demu atamzimia kumbe demu ana njaa haitaji mbwembwe za mdomoni anaitaji kushiba na mpunga hahahaha
 
hahah kweli brooklyn weye kidume, jamaa alidhani akitema yai demu atamzimia kumbe demu ana njaa haitaji mbwembwe za mdomoni anaitaji kushiba na mpunga hahahaha

Huyu alikuwa kibiashara zaidi na sio wife material
 
heee kweli utandawazi, utongozaji nao umekuwa mgumu, bora na sie tulitongozwa enzi ya mkoloni....
 
heee kweli utandawazi, utongozaji nao umekuwa mgumu, bora na sie tulitongozwa enzi ya mkoloni....

Enzi hizo kulikuwa kuna kutongozwa au kutongozewa? si wazazi walikuwa wanawachagulia wachumba?

Mbona Kaizer ni wa 85 + sasa umeolewa na mdogo wako?
 
Enzi hizo kulikuwa kuna kutongozwa au kutongozewa? si wazazi walikuwa wanawachagulia wachumba?

Mbona Kaizer ni wa 85 + sasa umeolewa na mdogo wako?

hahaha! sugarmammy nyamayao! lol
 
Mh! hii kali, mm nlishasahau hata nlivomtongza mamsap!! teh teh
ila njia rahs sku hiz ni simu,pata namba yake, mpigie kila sku kumpa hai, unamrushia na kabuk10 ka vocha kila sku, sikuya siku unabeba mkoba! teh teh
mm nikiona dem anajifanya enjofesi wala namshusha tu! tatizo langu napenda mimama teh teh!
 
brothas n sistaz dah infurahisha ila balaa demu anang'ata yai afu weye Kanumba ananafuu ukaingia na gea ya yai..utadata
 
Enzi hizo kulikuwa kuna kutongozwa au kutongozewa? si wazazi walikuwa wanawachagulia wachumba?

Mbona Kaizer ni wa 85 + sasa umeolewa na mdogo wako?

ahhhh wapi, watu tumetongozwa tena kwa kusotea haswa.... c mbaya mana na mie ni 82 so tunasukuma gurudumu la lyfe.
 
SIku hizi nadhani simu hizi zimemaliza utamu kabsaa wa kutongoza maana demu ukimpigia kwenye simu ni km vile ushamloga, wala hutumii nguvu na ukikutana naye yaani unakuwa ushamaliza kila kitu wewe ni kwenda kumega tu hahaha, ndo maana siku hizi ma Yanki face tu face wanaogopa utaona anaomba namba ya simu halafu akiwa mbali ndo anapiga anaanza kubembeleza, na hayo mayai sasa yanatemewa humo humo hahaha
 
Enzi hizo kulikuwa kuna kutongozwa au kutongozewa? si wazazi walikuwa wanawachagulia wachumba?

Mbona Kaizer ni wa 85
+ sasa umeolewa na mdogo wako?

hii nairipoti kwa Mods upewe ban, reason: Speculation ya member ID.....nipitishe petition? LOL
 
ahhhh wapi, watu tumetongozwa tena kwa kusotea haswa....

Hii iwa inakuwa mbaya sana alafu iwa mnajifanya hamtaki kumbe mnataka ukikata mguu utasikia lawama mara ohh umenisusa mara ohh sijui nn kumbe sitaki na taka wenye mioyo dhaifu kama sisi iwa tunakata tamaa mtu unatongoza mwanamke miaka 5 bado hakijaeleweka wa nn achana nae.
 
imebidi kwanza nicheke, una tabu wewe, wengine walikula kwa macho kwa muda kidogo na sio kwamba alikuwa ameshaniambia shida yake then nikawa namzungusha, hapana! alikuwa ni mtu wa kufatilia nyendo zangu bila mie kujua...c unajua tena mtu unapotaka mke/mume?....alikuja kuniambia yote hapo baadae....upo hapo?
 
Kwa hiyo unataka kuniambia mpwa Kaizer alipata tabu kuliko niliyoipata kwa ZD? Hahaha (Sorry, off topic)
 
hii nairipoti kwa Mods upewe ban, reason: Speculation ya member ID.....nipitishe petition? LOL

Punguza jazba mpwa! nilishtuka kuona umeoa mtu aliyekuzidi umri ni kwa mazuri na sio kwa mabaya. Ila nafurahi kuona una penzi la dhati.
 
...c unajua tena mtu unapotaka mke/mume?....alikuja kuniambia yote hapo baadae....upo hapo?

Unajua mimi iwa sipendi kumfukuzia mtu na kumvizia njiani wakati umesha mweleza shida na nia yako lakini kikubwa nilicho kiona wanawake wengi wanapenda kudanganywa ukimwambia ukweli basi huyo humpati ukimdanganya basi aaah unakabidhiwa kila kitu.
 
Punguza jazba mpwa! nilishtuka kuona umeoa mtu aliyekuzidi umri ni kwa mazuri na sio kwa mabaya. Ila nafurahi kuona una penzi la dhati.

za hapa na pale izo. si unajua tena Nyamayao apo itakuwa ngumu mtu akigusa tu nakoki! LOL
 
Back
Top Bottom