pika kwa kimbo! pika kwa kimbooo!!
mafuta ya Rox na mche wa sabuni ilula, kwanga.
Hii ni enzi ya juzi juzi hapa wakati wa viatu vya bata na chachacha, mwisho kuvaa saa sita mchana.Kimboooooo! View attachment 51557
Kimboooooo! View attachment 51557
pika kwa kimbo! pika kwa kimbooo!!
Gardenia, Imperial!!!! Mafuta ya mkebe pia ya Imperial, Gardenia, na mengine nimeyasahau kidogo. Well perfumed wakuu. Na vyote toka Kenya!!!Mmmh, umenikumbusha mbali sana mkuu!
Enzi zile tukipaka miili yetu kwa mafuta ya LadyGay, perfume YOLANDA, sabuni LIFEBUOY.
Kimboooooo! View attachment 51557
Kuna haya pia.... sie tuliokuwa tunaishi mpakani mwa Kenya na Tanzania ndio yalikuwa mafuta yetu...
View attachment 93087
Kimboooooo! View attachment 51557
Mkuu kuna ile kitu ya Rays tulimudu wengi. Bodyline ilibidi kwanza uagane na nyongaEnzi zile unapaka mwilini BODYLINE pure petroleum Jelly, unikute na suruali yangu ya mchelemchele na shati la Tambala lenye picha ya mwewe mgongoni, asikwambie mtu dadaako haponi... lakini leo vurugu tupu.