Kama hivi ndivyo:lipi kosa la mh john mnyika

Jolebatawi

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
549
230
Najaribu kutafakari kwa kina juu ya mwenendo wa nchi yetu hadi sasa ulipofikia, naikumbuka ile kauli ya mbunge wetu mh John Mnyika aliyoitoa bungeni ikasababisha atolewe nje ya ukumbi wa bunge tena kwa dharau kubwa ya gamba Job Ndugai. Je ni nani hadi sasa anabisha kuwa kuchafuka kwa nchi yetu hivi sasa ni kutokana na udhaifu mkubwa alionao bwana mkubwa? uliosababisha adharauliwe na kila mtu pamoja na kuishusha hadhi nafasi ya urais kiasi cha kila mtu kulala na kuamka anatangaza kuutaka urais na tusishangae hata watoto wa shule ya msingi wakaanza kutoa matamko ya kuutaka urais coz ulishashuka hadhi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom