Kama hii ni ya kweli tumekwisha

Do u believe this idiot.He is a die hard politition.His political time is over ,still want to make himself famous by false acusation agaist my country.God Bless America
seems that killing is your intention fool
Your shamefull nation had killed african leaders and children just for resource extractions, not enough your nation have and still developing nuclear for mass destruction weapons, so you are here to boast about how blessing is america is?? We know and we pray to God to punish your nation same way as you did to us we africans (as we became your dolls for your campaigns) Damn!!!!!
 
Can't buy it. Zelzal is a natural force. If you can make nature then that's no longer a nature
 
Some of us are not naive kama ulivyoweka mwenyewe. Ila unatakiwa usome hivo vitu na uone kama kweli inawezekana kwa Marekani kutengeneza earthquake machine or whatever. Enzi ya Cold war Warusi waliwahi kutengeneza hicho kifaa lakini wakaogopa kuitest kwa vile hawakujua impacts zake zitafikia wapi.

Jaribu kuangalia baadhi ya documentaries na utaona mambo ambayo unafikiria hayawezi kutokea duniani lakini yanafanyika.

Katika miaka ya 60 na 70 kulikuwa na majaribio ya kuwafuta watu akili kwa kutumia chemicali ya LSD. Lengo lao ilikuwa ni kuwafeed with information ambayo wanataka wao. Watu hao ambao walifanyiwa majaribio walikuwa kwenye umri wa miaka 40+ lakini baada ya kupata ile dose ya LSD walikuwa wanabehave kama watoto wa mwaka mmoja wanajifunza hata kutumia choo.

Na hao walikuwa madaktari wa Kimarekani (CIA branch) wakifanya majaribio kwa wazungu wenzao Canadians. Ilipokuja kugundulika basi walikimbia Canada na kuchoma moto zile documents. Yule Daktari aliyekuwa anahusika pia alikufa kifo ambacho hakikueleweka.

Hiyo documentary mimi niliiona na hata hao watu waliofanyiwa majaribio. Sasa unabisha kweli kuwa na kifaa ambacho kinaweza kuleta earthquake?

Hiyo source yako ndiyo hiyo hiyo iliyosema Michael Jackson kauawa na C.I.A.

Unaamini hicho pia? Hiyo source unaiona credible?

I am not saying the US is a saint or anything, but people, for atoms sake, verify these internet hoaxes first before getting bloated from fictitious accounts from USphobes.
 
Some of us are not naive kama ulivyoweka mwenyewe. Ila unatakiwa usome hivo vitu na uone kama kweli inawezekana kwa Marekani kutengeneza earthquake machine or whatever. Enzi ya Cold war Warusi waliwahi kutengeneza hicho kifaa lakini wakaogopa kuitest kwa vile hawakujua impacts zake zitafikia wapi.

Jaribu kuangalia baadhi ya documentaries na utaona mambo ambayo unafikiria hayawezi kutokea duniani lakini yanafanyika.

Katika miaka ya 60 na 70 kulikuwa na majaribio ya kuwafuta watu akili kwa kutumia chemicali ya LSD. Lengo lao ilikuwa ni kuwafeed with information ambayo wanataka wao. Watu hao ambao walifanyiwa majaribio walikuwa kwenye umri wa miaka 40+ lakini baada ya kupata ile dose ya LSD walikuwa wanabehave kama watoto wa mwaka mmoja wanajifunza hata kutumia choo.

Na hao walikuwa madaktari wa Kimarekani (CIA branch) wakifanya majaribio kwa wazungu wenzao Canadians. Ilipokuja kugundulika basi walikimbia Canada na kuchoma moto zile documents. Yule Daktari aliyekuwa anahusika pia alikufa kifo ambacho hakikueleweka.

Hiyo documentary mimi niliiona na hata hao watu waliofanyiwa majaribio. Sasa unabisha kweli kuwa na kifaa ambacho kinaweza kuleta earthquake?
Anything that generates seismic waves hence earthquake.
Hata mabomu yanaweza kusababisha earthquake.
 
And what would the Americans gain by earthquaking the hell out of Haiti?

I know America can be evil, I know they did the Tuskegee experiments and all to gain medical knowledge on the human body's natural resistance.But I dont see what they would gain by earthquaking Haiti, to the contrary, they would lose a lot in terms of the backlash when this comes out, they would get all the Haitian refugees and boat people, the considerably numerous Haitian-American constituent would raise hell, so why do it? Even if they have the technology.

Suppose they have the technology, would they squander it by creating this liability that would sooner or later come out?

This simply doesn't add up.
 
Tunapowalaumu Wamarekani je, tumewahi kujiuliza hivi Mmarekani ni nani hasa, ni wenyeji wa asili au wahamiaji ambao kwa kidogo ninachokifahamu wametoka sehemu zote za dunia. Kwa hivi sasa ni vigumu saana kulielezea taifa la Marekani kwa njia yoyote ile rahisi ukaeleweka kwani wakati wowote unapoinyoshea kidole Marekani yawezekana kabisa unawanyoshea kidole ndugu zako kama baba, mama, mke, mtoto, mjomba, shemeji au rafiki yako mpenzi. Watu kutoka mabara yote ya ulimwengu ni raia wa Marekani, watu wa rangi zote ni raia wa Marekani, watu wa dini zote ni raia wa Marekani na watu wa makabila yote wanapatikana Marekani. WaCuba wamejaa Marekani, waIran wamejaa Marekani, waChina wamejaa Marekani, Warusi wamejaa Marekani, Wapalestina wamejaa Marekani, WaNigeria wamejaa Marekani, Waisraeli ndio kama kawa na Latino ndio usiseme ! Marekani ni kama dunia ndogo zinapowakilishwa jamii zote za Dunia na tabia zao zote - wapo Wamarekani wenye asili ya Tanzania walio kwenye sehemu nyeti nchini Marekani na hivi sasa mtoto wa Mjaluo wa Kenya kashika usukani - hivi Mmarekani anayeongelewa hapa ni yupi ?
 
And what would the Americans gain by earthquaking the hell out of Haiti?

I know America can be evil, I know they did the Tuskegee experiments and all to gain medical knowledge on the human body's natural resistance.But I dont see what they would gain by earthquaking Haiti, to the contrary, they would lose a lot in terms of the backlash when this comes out, they would get all the Haitian refugees and boat people, the considerably numerous Haitian-American constituent would raise hell, so why do it? Even if they have the technology.

Suppose they have the technology, would they squander it by creating this liability that would sooner or later come out?

This simply doesn't add up.
Kiranga...kwahi ile Hiroshima ilikuwaje?Walihitaji nini kule?Na ilipokuja kujulikana,wht's the impact to them so far??
Hoja iliyopo kwenye media ni kwamba jamaa walikuwa wana test hiyo tech,then ikaondoka na Haitians....na walikuwa wanajua incase sthng wrong happens hayo maafa yangetokea,na ndio maana wakatafuta sehemu muafaka ya kujaribia.
Ikija kujulikana waziwazi,watasema tu ni human error....kama W.Bush alivyosema vita ya Iraq kuwa ni just Human error ya CIA.
Kiranga...,wajua hii tuhuma ni nzito sana,kama Hugo Chaves na Russians wangekuwa wameropoka tu bila ukweli wwte,ungeona Gates na Clinton ambavyo wangetunisha misuli a shingo.
Foxnuz wameizungumzia kiaina ila kwa kujifanya wana nukuu maneno ya Hugo.There shud b sthng behind ths catastrophe,kama ni mfuatiliaji mzuri u can learn from the series of events......quick response ya B.Clinton,W.Bush na B.Obama,deployment..activities kule Haiti,kuzuiliwa kwa ndge za Uk, France kwa hoja kuwa US soldiers have right to defend themselves incase any danger posed to them..how can a natural earth quake victims impose danger to the rescuers????????...kwa nini Haiti kutokee machafuko baada ya lile tukio kiasi wanajeshi wa US watumike kutuliza hizo ghasia?wajua wanajeshi wameweka ulinzi mkali ikulu ya Haiti.
It's doesnt bear in mind natural tetemeko la ardhi lilete civil chaos kiasi cha kutaka kuvunjika amani.
 
Hujui Hiroshima ilikuwaje? Seriously? No wonder.

Your sources are this Sorcha Faal who also said Michael Jackson was killed by CIA, Fox News and Hugo Chavez, seriously?

No wonder.
 
Kiranga...kwahi ile Hiroshima ilikuwaje?Walihitaji nini kule?Na ilipokuja kujulikana,wht's the impact to them so far??

Duh, elimu kidogo ya historia ya vita vya dunia yahitajika hapa !
 
hoax.gif

There are plenty of articles running around the internet authored by some charlatan going by the name - Sorcha Faal. During this time of escalated events, there will be hoaxters coming out of the woodwork claiming some "special knowledge" and their "mission" to get the word out to the world. So once again we are all reminded to use our gift of "discernment" and so be warned.

Mnashangaa nini wakati kule wanaishi weusi, na jamaa wanaona hawana hasara kuona weusi wanateketea!
Mwakasege alisema watu wakabisha kwa mathread makubwa hapa...Sasa mambo hayooo yanaanza polepole kuonekana!

Basi nasema enendeni kwa roho wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili.......mruba anao binti wawili waliao nipe nipe, kuna vitu vitatu visivyo shiba kamwe nam vinne visivyosema basi....well haishangazi wala si jambo geni kwani the on going biological war nani ambaye haioni? Labda kipofu. Bado baada ya kutupiga na ma virus yao wanatumia marais wetu kufanya sensa kwa questionnaire zao ili wajue waongeze dozi kwa kiasi gani na wapi (msini nukuu wapendwa hii ni hisia zaidi kuliko uhalisia nikiambiwa nitoe facts sina zaidi ya kusema nimeona katika roho)....mmmh mola tusaidie tupe akili na nguvu ahadi yako itimize...'siwaombei uwatoe hapa duniani bali uwalinde na yule mwovu'.
 
List of earthquakes in Haiti

From Wikipedia, the free encyclopedia

This is a list of major earthquakes in Haiti.

French colonial era
  • 3 June 1770 at 19:15 local time: See 1770 Port-au-Prince earthquake. The city of Port-au-Prince was leveled in the 7.5 magnitude quake which killed over 200 people.
Independent Haiti

  • 7 May 1842: An earthquake destroyed the city of Cap-Haïtien and other towns in the north of Haiti and the Dominican Republic; this earthquake also destroyed the Sans-Souci Palace. 10,000 people killed.
  • 4 August 1946: The 1946 Dominican Republic earthquak (magnitude 8.0) struck the Dominican Republic and also shook Haiti, producing a tsunami that killed 1,790 people and injured many others.
1770, 1946 earthquakes was more than what happened recently,

Perhaps 1842 The earthquakes was higher than normal(in Haiti) I believe the country was not populated so for 10000 people to die arises questions to me that , it was large one

Kila kitu marekani dunia hii! hatuoni tunakuwa watumwa sasa
 
Labda watasema Wamarekani walikuwa na teknolojia hii from the 1770s, walikuwa wanaificha tu. Inawezekana hata waliitumia katika Revolutionary War, we all enjoy a good conspiracy theory, lakini iwe na akili basi, hizi conspiracy theories nyingine hata hazina akili
 
While this could be one of the millions of conspiracy theories against the US,it nonetheless raises some serious questions.Kwa mfano,je kama Marekani iliamini kuwa mafanikio ya teknolojia hiyo yangeweza kuidhibiti Iran wasingeendelea kuijaribu?

Pengine wakati tunajaribu kui-dismiss story hii,and I don't have any objection to that,ni muhimu kurejea historia na kujikumbusha uharamia uliofanywa huko Vietnman na Hiroshima.Pia nimuhimu kufahamu kuwa tangu baada ya 9/11 rationality ya Wamarekani when it comes to defence and security inamaanisha anything goes.I wouldnt be surprised kuskia kwamba kilichotokea Haiti ni collateral damage...a price the world has to pay to make the US safe and impenetrable.
 
Kiranga na wewe umeng'ang'ania na hiyo conspiracy theory ya CIA na Michael Jackson unafikiri wengine hatuwezi kupembua mchanga kutoka kwenye mchele?

Na tunajua kwamba taarifa zinazotoka kwenye internet siyo za kuaminiwa kwa asilimia 100 kwani ye yote anaweza kupost cho chote kile.

Tunaongelea documentaries za kwenye television ambazo zikiwa za uongo basi wataalamu huwa wana'refute' ile taarifa.

Usitufanye sote kuwa ni watumwa wa internet na hatujui reference nyengine.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom