Kama hii ni ya kweli tumekwisha

Bado sijaamini kama hawa jamaa wana akili kiasi hicho. Kama ni hivyo basi kuna baadhi ya binadamu inabidi tu tukubaki tunaijaza dunia for nothing.

Yaani hata invention moja hatuna. "I feel very sorry"

Bora hata waparsi wanang'ang'ana hata wawe na kabomu ka nyuklia.

Jamani can we wake up and use our brainz guyzz!! We can even eradicate malaria with our own technologies (hata za asili) bila "misaada".

YES WE CAN! YES WE CAN!
 
Ndiyo maana siwezi kushangaa kwa nini Tanzania ni nchi ya pili masikini duniani. Hii habari uchuro wengi mmeamini. That thinking ndiyo hiyo hiyo imetufanya kuwa backward!!
 
Lol @ conspiracy theory baloney believers!

Kumbe Obama hapendi watu weusi...wow...nilikuwa sijui
 
Kwani wewe ulikua hujui kwamba dunia sio sehemu salama ya kuishi?sehemu salama ni Mbinguni pekee my dia.Dunia imejaa kila iana ya mazagazaga mazuri na mabaya lakin mengi yakiwa mabaya.
 
Dunia sio mahali salama tena ya kuishi. Ni bora tukaishi Mbinguni ambako hakuna magonjwa, vita wala njaa kule ni kuimba na kumsifu Mungu tu.
 
ina maana huamini kama mwanadamu anaweza kutengeneza na kusababisha tetemeko, umeshasikia kitu kinaitwa bomu la nuclear au ilivyofanywa Hiroshima Japan, kikipingwa kama kisiwa cha Zanzibar kinabebwa kinageuzwa na kufunikwa najua utasema tena ni uzushi ni kweli hii si siasa ni science ndugu yangu.

Mbona swali juu ya swali????????? Bomu la nuclear linaingiaje hapa???????????
 
ina maana huamini kama mwanadamu anaweza kutengeneza na kusababisha tetemeko, umeshasikia kitu kinaitwa bomu la nuclear au ilivyofanywa Hiroshima Japan, kikipingwa kama kisiwa cha Zanzibar kinabebwa kinageuzwa na kufunikwa najua utasema tena ni uzushi ni kweli hii si siasa ni science ndugu yangu.

Mbona swali juu ya swali????????? Bomu la nuclear linaingiaje hapa???????????
 
18379_302048960648_519750648_4464829_5966811_n.jpg

Dogo akishangilia baada ya siku kumi kutokea kwa tetemeko atoka hi!! Siku akisikia kua ni America ndo chanzo cha yeye kufunikwa hachelewi kujilipua huyo ili alipe kisasi!!
 
Nilikuwa nashangaa namna western media zinavyojichanganya kuhusu hii habari ya Haiti.....Wafaransa na Waingereza wanalalamika kuwa ndege zao haziruhusiwi au zinazuiliwa,zingine zasema USA wameamua ku "monopoly",kuwa "police" n.k
Wame tight kila kona kwa hoja ya kulinda usalama kutokana na machafuko ya hapa na pale.
Nahisi kuna kitu kinadhibitiwa kisi vuje...lakini ukweli siku zote utadhihirika.....kinachotushinda sisi ni uvumulivu wa kusubiri,lakini ukweli huwa haufichiki hata kidogo.
Here we go~~~
 
Tunasema marakwamara hapa kuwa hawa US na Western ni ma-TERRORISTS wakubwa sana duniani, wao ndio wanaosababisha vi-terror vidogo kama al-qaida kuibuka.

Lazima tuwalaani kwa unyama wao tusikubali kuwa brainwashed na media zao, nadhani wengi sasa wataamini hawa wamerikani niwanyama kiasi gani!!!!
 
.......Nahisi kuna kitu kinadhibitiwa kisi vuje...lakini ukweli siku zote utadhihirika.....

Na ndo kitu hicho ambacho TV zao CNN na wenzao huwa hawaoneshi. Ila kama unapenda kuangalia Al Jazeera utagundua mapema sana kwamba kuna kitu kinafichwa, ndo sababu ndege za Wafaransa na wengine huwa ainazuliliwa kwa sababu wanazozijua wao.
 
Do u believe this idiot.He is a die hard politition.His political time is over ,still want to make himself famous by false acusation agaist my country.God Bless America
 
Wapeni na Kigamboni muone watakavyoanza kutega matetemeko ya ardhi kupitia kigamboni underground mpaka vijijini.
 
Na ndo kitu hicho ambacho TV zao CNN na wenzao huwa hawaoneshi. Ila kama unapenda kuangalia Al Jazeera utagundua mapema sana kwamba kuna kitu kinafichwa, ndo sababu ndege za Wafaransa na wengine huwa ainazuliliwa kwa sababu wanazozijua wao.

Ni mambo ya right to monopolize investment,kisiwa kinahitaji kujengwa from the bottom to the top,kwa hiyo unaweza kuona wanataka kujijengea mazingira ya kudhibiti investment..
Hayo mambo ya imperialism ya kugombea territories na spear of influences bado yako,kwa mfano nchi kama Cuba,licha ya wamarekani kuwatenga,makampuni ya waingereza,wafaransa na wacanada wanafanya biashara na Fidel kama kawa,na mmarekani anamezea mate tu Fidel Castro afe kwasababu wanaamini bado ndiye anayeendesha nchi kwa remote....Ndivyo ilivyo.
 
Some of you guys are really naive.

What are you going to say next? Michael Jackson was assasinated by the C.I.A ?
 
Some of us are not naive kama ulivyoweka mwenyewe. Ila unatakiwa usome hivo vitu na uone kama kweli inawezekana kwa Marekani kutengeneza earthquake machine or whatever. Enzi ya Cold war Warusi waliwahi kutengeneza hicho kifaa lakini wakaogopa kuitest kwa vile hawakujua impacts zake zitafikia wapi.

Jaribu kuangalia baadhi ya documentaries na utaona mambo ambayo unafikiria hayawezi kutokea duniani lakini yanafanyika.

Katika miaka ya 60 na 70 kulikuwa na majaribio ya kuwafuta watu akili kwa kutumia chemicali ya LSD. Lengo lao ilikuwa ni kuwafeed with information ambayo wanataka wao. Watu hao ambao walifanyiwa majaribio walikuwa kwenye umri wa miaka 40+ lakini baada ya kupata ile dose ya LSD walikuwa wanabehave kama watoto wa mwaka mmoja wanajifunza hata kutumia choo.

Na hao walikuwa madaktari wa Kimarekani (CIA branch) wakifanya majaribio kwa wazungu wenzao Canadians. Ilipokuja kugundulika basi walikimbia Canada na kuchoma moto zile documents. Yule Daktari aliyekuwa anahusika pia alikufa kifo ambacho hakikueleweka.

Hiyo documentary mimi niliiona na hata hao watu waliofanyiwa majaribio. Sasa unabisha kweli kuwa na kifaa ambacho kinaweza kuleta earthquake?
 
Back
Top Bottom