kama hii igekuwa chadema ccm wangesema udini

Status
Not open for further replies.
aisee sasa sie ambae wazazi wetu hawako kwenye chama au serikali hatuna kabisa chance ya kushika uongozi inavyoonekana wanapeana wao kwa wao...kweli bora chama kingine kichukue nchi labda na sie tutafikiriwa
 
9. Mtoto wa kike wa Mzindakaya = Mbunge
10. Mtoto wa kiume wa Mzindakaya = Rafiki ya Prince kawa mkuu wa Wilaya
11.Mtoto wa Mwinyi = Ni Mbunge wa Afrika ya Mashariki
12. Mtoto wa Malecela = Katibu kata Kivukoni
13.Mtoto wa Makamba = Naibu waziri
14. Mtoto wa Makamba = Mkurugenzi VODACOM

15.Sitta na mke wake wote wabunge
16.Adam malima mtoto wa malima mzee
17.Malecela na mkwe wake
 
nipeni nchi 1215 familia yangu ni waumini wakubwa wa wapagani hatuna dini nadhani nitakuwa nimesolve tatizo la udini

nawsilisha mkuu
 
hao kwenye red ni waislam majina tuu,hawajasaidia waislam kusonga mbele kwa huduma za kijamii
 
1.hussein mwinyi waziri wa afya=mtoto wa ally hassan mwinyi.
2.vita kawawa na dada wake wabunge wa ccm =watoto wa rashid kawawa.
3. David matayo mbunge na naibu waziri wa ccm=mtoto wa cleopa msuya.
4.binti wa sokoine mbunge ccm arusha=mtoto wa edward sokoine.
5.mtoto wa bilali mbunge wa east africa ccm=mtoto makamu wa rais bilal.
6.makongoro nyerere=mtoto wa nabii wetu wa tanzania nyerere.
7.nape nauye katibu mwenezi ccm=babake ni nnauye alikua kada wa c
naomba mwenye majina zaidi atujuzecm.
8.mtot wa getrude mongela ni mkuu wa wilaya moja tz.
nape anapowasema chadema kwamba ni chama cha ukoo hapo juu vipi ?



Teh teh teh heee nape kumbe nyani haoni kundule kweli!
 
duhh bado wiliam malecela anavutiwa pumzi,ila mm naona ndo system ya nchi nyingi duniani tusilaumu sana sema wao ccm wanatumia njia ya ukabila na udini kukibomoa chadema lakini si wote walio chadema ni wachaga,hii dhana ya udini ndo mbinu walioitumia kuiua cuf,.......ni maono tu usjenge chuki

sasa wao ccm kama ni udini ndo umewajaa kama inavyoelezea thread hapo juu kuanzia rais mpaka vinaga ubaga nape huku waislam
 
Mbowe-mkristo,slaa-padre mfukuzwa,lissu na dada yake-wakristo,mdee,nassari,machemuli,wakristo...marandu..,lile lihaya wakristo
 
Tuwekeeni na wabunge wa viti maalum chadema ili tupime wapi kunafaa'maana wote mko sawa tu ccm na cdm undugunaizesheni umejaa sana tu

Kabla ya kufikiri hayo yote jaribu kujua syterm inayotumika kuwapata then ndo uangalie kama dini zote zinashirika na kuwepo kwa upendeleo wa upande mmoja ama la?
 

1.kikwete muislam.
2.bilali makamu wa rais muislam.
3.jaji mkuu othman chande muislam.
4.mkuu wa polisi said mwema muislam.
5.mkuu wa usalama wa taifa othman muislam.
6.nape nauye katibu mwenyezi wa ccm muislam.
7.mwenyekiti wa uwt sophia simba muislam .
TATIZO NI WAO WAO WENYEWE SIO DINI ZAO UKIWAONGEZA HUMO .
PINDA.
MUKAMA.
ANA MAKINDA
MWANASHERIA MKUU WA TANZANIA.
MKUU WA MAJESHI
PIUS MSEKWA.
HAWA WOTE TUNAWALAUMU KWA UTENDAJI WAO NI WAZANDIKI WAFILISI WA TAIFA LETU WALA RUSHWA,WAUZAJI WA TAIFA LETU WATUMIAJI UBABE LAKINI NI UFISADI WAO NDIO TUNAOULAANI SIO DINI ZAO.NA SASA CCM KWA KUSHIRIKIANA NA CUF NA WANAUAMSHO WANA AJENDA YA KUTUMIA UKRISTO NA UCHAGA KUWAHADAA WATANZANI POLENI CCM,CUF NA WANAUAMSHO.NATOA HOJA

Huyu chadema tu. chadema punguzeni UDINI
 
dawa 2kiwachapa nyie makafiri ndo mtatuheshmu

Mwisilamu mwenzangu ukishawachapa ufaidike na nini? Una ndugu zako wangapi wameoa au kuolewa na wakristo unaowaita makafiri? Fikiri kidogo kabla hujachangia....
 

1.kikwete muislam.
2.bilali makamu wa rais muislam.
3.jaji mkuu othman chande muislam.
4.mkuu wa polisi said mwema muislam.
5.mkuu wa usalama wa taifa othman muislam.
6.nape nauye katibu mwenyezi wa ccm muislam.
7.mwenyekiti wa uwt sophia simba muislam .
TATIZO NI WAO WAO WENYEWE SIO DINI ZAO UKIWAONGEZA HUMO .
PINDA.
MUKAMA.
ANA MAKINDA
MWANASHERIA MKUU WA TANZANIA.
MKUU WA MAJESHI
PIUS MSEKWA.
HAWA WOTE TUNAWALAUMU KWA UTENDAJI WAO NI WAZANDIKI WAFILISI WA TAIFA LETU WALA RUSHWA,WAUZAJI WA TAIFA LETU WATUMIAJI UBABE LAKINI NI UFISADI WAO NDIO TUNAOULAANI SIO DINI ZAO.NA SASA CCM KWA KUSHIRIKIANA NA CUF NA WANAUAMSHO WANA AJENDA YA KUTUMIA UKRISTO NA UCHAGA KUWAHADAA WATANZANI POLENI CCM,CUF NA WANAUAMSHO.NATOA HOJA
Wange....wangesema lakini wewe ndio umeshasema sasa sijui tukuelewe vipi..mdini au?
 
ongeza pia mtoto wa mwapachu ndani ya Airtel,usisahau toto la mungai kilaza
wa bot na wengine wengi pccb,tanapa na mashirika mengine makubwa yasiyolipa kodi.hakika vikao vyao ndani ya ccm ni sawa na vile vya ukoo na familia.ajira hii mpe mtoto wa jk,msuya,msekwa,lowasa,makamba,mwinyi,mkapa,shimbo,kigoda,makinda,migiro,sumaye etc.source-mwigulu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom