Kama haya yanampata Waziri wa nchi, je mwananchi wa kawaida itakuaje?

hapo kinachoinishangaza ni kauli ya polisi kuomba victim wa ujambazi ahamishwe wao wanaendelea kumtafuta mhalifu, huyo victim kosa lake nini hadi anahamishwa why hao polisi wasimlinde akiwa kwake what if asingekuwa na sehemu nyingine ya kuishi? Mwakyoma anaprove jeshi kushindwa kutimiza wajibu wake anapaswa kuondoka mara moja
 
hapo kinachoinishangaza ni kauli ya polisi kuomba victim wa ujambazi ahamishwe wao wanaendelea kumtafuta mhalifu, huyo victim kosa lake nini hadi anahamishwa why hao polisi wasimlinde akiwa kwake what if asingekuwa na sehemu nyingine ya kuishi? Mwakyoma anaprove jeshi kushindwa kutimiza wajibu wake anapaswa kuondoka mara moja
 
kuna UWALAKINI hapa..................hili wanaeza limaliza wao wawili mana wanajuana tuuuu
 
huyu waziri anaiba mpaka mademu wa watu...yule demu wake mweupe mrombo alimnyang'anya mmasai wa watu pale udsm, yani jamaa alikuwa anasaidia madesa na mambo yote ya muhimu kwa demu, ila waziri alipotuma messenger aitiwe huyu demu mrombo mmasai wa watu hakuona ndani
ala kumbe! Basi wanajuana hao!
 
Duh! Kamanda wa Polisi ameshindwa kumhakikishia usalama mama wa waziri dhidi ya mtu asiye na jeshi? Mtanzania wa kawaida akienda Polisi post na tatizo kama hili atasaidiwaje?
 
Habari za uhakika .... lilitokea Kijiji cha Manushi, Kibosho usiku wa kuamkia juzi.
*
... na begi kubwa la nguo ambalo walidhani kuna fedha au bastola.

*“Tatizo ninaloliona hapa ni kwamba huyu 'Askofu' siku zote hatajwi kwenye vyombo vya dola kwa sababu anaogopwa sana na hili limempa nguvu ya kufanya hayo anayoyafanya bila uwoga wa kukamatwa,”alisema.
*
source:Gazeti mwananchi

Hizi taarifa alizonazo Chami zinatokana na Intelijensia inayofanya kazi kwa kutumia masaburi. Kama taarifa zote wanazo wanasubiri nini kuchukua hatua? Mwizi ni Askofu, anatokea Manushi, Jambazi anaogopwa. Sasa kama anaogopwa hakuna wa kumkamata inawezekana anaubia na magamba katika shughuli zake!
 
Maajabu makubwa, kwamba waziri anamfahamu jambazi husika tena maarufu Askofu lakini hajawahi kuthubutu kumwambia waziri mwenzake ama IGP ama RPC kwamba kuna jambazi sugu Askofu hapo moshi vijijini hadi mama yake alipotishiwa kifo ndio anasema tena kupitia magazetini.

Like faza like son. Kikwete anawafahamu wauza unga na wala rushwa lakini hawachukulii hatua, Chami naye anafuata nyayo za mkuu wake.
ndio mawaziri wetu, hadi yawakute..............
 
Back
Top Bottom