Kama hauko huru hata kwa 1% we sio huru

Sep 22, 2011
33
2
Habarini za asubuh wanajamii! Poleni na uchovu wa kutafuta dinari! Naomba kujua hivi leo tunasheherekea miaka 50 ya uhuru au miaka 50 ya amani? Na kama ni uhuru! Uhuru upi tunaousherekea?
 
Back
Top Bottom