Kama field ndo hivi ajira je?

Hii ndo tz inashangaza hata mashirika binafsi nayo na mengine charity orgs wanakuwa na sababu nyiiingi du!
 
Haya maisha sijui hatama yake! Ifike mahali sasa waajiri binafsi na serikali iweke utaritibu mzuri na makini pamoja na vyuo katika mafunzo haya kwa vitendo, kwa wanafunzi.
 
mimi sizungumzii mwajir mmoja bt hali halisi kwa waajiri wengi hapa tanzania, inshort ni tatizo e.g m2 aseme malaria ni tatizo sugu na linalo ua kwa kasi tz, alafu wewe uje kusema hapana mbona kwe2 watu hawafi kwa malaria..
Ahsante, sasa baada ya yote, tufanyeje tutatue tatizo hili?
 
Me nilipeleka barua mwez wa nne tareh za katikat Tra wakaniambia sasa hv tukipokea barua zitapotea njoo mwez wa sita.nikaenda mwez wa sita mwanzon wakanijib nafas zimejaa hatupokei tena.yan nilitaman nimtukane ila ikanibidi niondoke kimya kimya kabla sijashindwa kujicontrol hasira zangu
 
Inategemea na Chuo ulichotoka....kama kina sifa ya kutoa watu wazuri kupata field ni rahisi sana..ila kama ni hivi vyuo vya kata nani anataka shida??

utendaji kazi hautokani na elimu ya chuo fulani.Unatoka na mambo makuu manne.
1.Uelewa wa kiutendaji juu ya hiyo kazi.
2.Nidhamu ya kazi.
3.Juhudi binafsi kazini.
4.Usikivu/hali ya kuwa tayari kujifunza na kuzingatia yale mapya usiyoyajua juu ya utendaji kazi.CHUO HAKIHUSIKI KWA LOLOTE LILE.
Isitoshe mtoa mada anazungumzia field,field ni haki kwa mwanachuo ili kumjenga ktk mazingra ya kuifahamu taaluma yake kivitendo.Waajiri wanapaswa kubadilika na si kuwakataa vijana,je wakajifunze wapi?kama mazingira si mazuri ie viti vichache,mara wanatoa siri za ofisi basi viboreshwe ili vijana wajifunze pasipo upande wowote kuathirika.
 
Acha kudanganya na kutisha umma wewe,haina cha chuo cha kata wala chuo cha kitongoji,bse hao wanaoleta dharau na nyodo wamepita kwenye vyuo 'unavyodhani' vina sifa nzuri.
Ni ufinyu wa kufikiri kumnyanyasa mwenzio km vile utakufa na position uliyonayo,kweli inakera.
 
wakuu rafiki Mayunga6 haya yalinikuta mimi........kila nilipokuwa natafuta field naulizwa umetokea Chuo Gani? unafikiri kwa nini wanauliza?? sasa hivi nipo kazini na kampuni huwa nachagua wanafunzi kutoka Vyuo fulani......hii ipo mkuu usikatae......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom