Kama Dr. Slaa anakuwa Rais na CHADEMA inaachiwa nchi leo....

CDM watakua kama Obama basi nia nzuri lakini hamna vitendea kazi na kwa hiyo kero na lawama zitaendelea...nafikiri hata kukopa sasa hatuwezi tena hizi IMF,WB ambazo ni short term solution ila long term financial and economic slavery....kazi kweli kweli hii nchi
Ndo nilitaka majibu ya hoja yangu yajikite kutoka hapo.
 
Nimeshasema chadema watapokea nchi wakiwa na zero balance at hazina, still nchi itakuwa na madeni kibao...na hapo bado matatizo yakiwemo hayo ya madaktari.....na mengineyo yatakuwa yana-exist...
How are they going to run a govt with zero balance?
How are they going to fulfill people's expectations?

Kumbuka watakuwepo wale wa akina "Ngoja tuone sasa"

Nchi haiwezi kuwa na zero balance banaaa. Wewe umesomea wapi? Economics ya sekondary tu inatosha kukufanya uelewe kuwa nchi haiwezi kuwa na zero balance kwani central bank huwa haiondoki na serikali iliyoondolewa madarakani. Likewise TRA wataendelea kukusanya kodi and so forth. Wewe sio great thinker hata kidogo.
 
Dr Slaa ni Great Leader! viongozi wachache sana hadi sasa wanaodhihirisha maisha yao ya ndani bila unafiki.
Huwezi ukawahubiria waumini kwamba msile nguruwe ni haramu huku unalo banda la kufuga nguruwe na butcher ya kuuza nyama ya nguruwe!
 
Yanawezekana mengi kurekebishwa
mfano ni jirani zetu Zambia.Sata ameweza!
wana Vice President mzungu..
wamechukua hatua ktk idara zote nyeti..
Mungu kawabariki hadi ubingwa wa AFCON wamepata
 
padri slaa hawezi kuwa rais
kwanza ana historia ya usaliti
1.alilisaliti kanisa katoliki
lililomsomesha na kumpa hiyo
PHD fake.kwa kuliibia hela mpka
akafukuzwa
2.alilikisaliti chama kilichomlea
kwa tamaa ya madaraka ccm na
kukimbilia chama cha edwn mtei
cdm
3.amemsaliti mke wake wa
kwanza rose kamili.kisa tamaa
HATA AKIPATA NCHI ATATUSALITI
HUYU KWA KUWA NDIO TABIA YAKE
Dats da best point i ever read in diz thread!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom