Kama dharau ikatokea - huko huko wanakofanya dharau hizi - Mh. Naibu Spika

Nimeangalia TUONGEE ASUBUHI ktk STAR TV leo hii kuna Clip ya jana wameirudia ...Jamani ADAM KIGHOMA MALIMA anajua kuvuta MIDOMOOOOO...

Hamna lolote kwani hata Bunge linapoteza mwelekeo kwa wenye ufahamu ya Kamati Teule ya RICHMOND yalitekelezwa? M atokeo yake yakamkuta Mh 6 na Bw. Selelii

Hii kauli ya Mh. Naibu spika imebeba ujumbe mzito sana!

Soma update ya leo ya Jason; Bosi wake Spika Makinda ameshirikiana na JK na Luhanjo kumsaliti Ndugai na WaTz wote kwa manufaa ya CCM.

Wanachowaza wao ni kutawala tu, kwa gharama yoyote, wakio tayari kutumia fitina, uzandiki, unyang'au, wizi, rushwa, ufisadi, nguvu, na utapeli ili mradi tu waendelee kututawala.

Siamini kama kuna mtu anamdhalilisha PM, anapaswa ayatafakari majukumu yake vizuri na atambue kwamba nchi yetu inaongozwa na Rais mtendaji ambaye anapenda aonekane ndiye mtendaji wa kila jambo jema na anakimbia madudu na kuwasingizia wengine (rejea sakata la RICHMOND).

Hamna lolote kwani hata Bunge linapoteza mwelekeo kwa wenye ufahamu ya Kamati Teule ya RICHMOND yalitekelezwa? M atokeo yake yakamkuta Mh 6 na Bw. Selelii

hapo ndipo tunapojua kuwa bunge la tz halina la kusema juu ya serikali waendelee kushabikia ipo cku watakuja kunya bungen na wao wakashangilia tu heko jairo na luhanjo kwa kutufanya tuijue nchi yetu vizuri kumbe hata wabunge ni waoga ka wananchu tu kwa wakuu wake aahhhhhhha aaaaaaaaah kwiiiiii kwiiiiii

Nataka niseme kitu hapa..hiyo kauli uliiyooita nzito kwa mtizamo wangu mimi ni ya kawida tu. Ni ya kawaida kwa sababu Job ndungai alishafaham emotions za watanzania na wabunge kwa ujumla na kwa mantiki hiyo alilazimika kujiegemeza kwa walio wengi na ndipo akaibuka na kauli ile.
Tusubiri tuone matokeo ya hiyo tume..na nikumbushe kuwa Tz hii zilishaundwa tume nyingi za uchunguzi lakini ripoti huwa hatupewi... Shame on this stupid government!

really? mwenye akili embu tejuze Luhanjo yuko mtandao upi wa kijamii?

Macho yako makavu sana kiasi kwamba unashindwa hata kusoma alama za nyakati. Kwa taarifa yako harakati na wabunge wa CCM ni mkakati madhubuti wa kuwapoteza wapinzani ili wasisikike tena. Ndiyo maana hoja nyingi siku hizi zinaibuliwa na wabunge wa CCM halafu CHADEMA wanabaki kupiga mayowe kwa nyuma. Tafakari bwana mdogo.

Aliposema 'hukohuko' alimaanisha kwenye mitandao ya kijamii. Watu wenye akili tuligundua mapema sana anachomaanisha.
Hivi unaposema watu wenye akili unakuwa unataka umaanishe nini?? Maana hata punguani ana akili za kiwango chake.

Ndugai is another scam!!.
Alichofanya Ndugai ni kukwepesha hoja kwa kigezo kwamba later tanzanians will forget and life will go on!!
Tume itaundwa, itapeleka ripoti kwa spika kisha repoti itakaa kwenye makabati bila kutolewa!!
1. Lema; Lisu na Zito mifano ya ripoti zilizozikwa plus ripoti muhimu ya Warioba!!
ALIYEKUWA NA UBAVU WA KUTOA RIPORTS HADHARANI KISHA KURUSU MJADALA WA WAZI NI SIX TU! HUENDA TUSIPATE TENA MTEMI WA AINA HIYO KATIKA MIAKA YA KARIBUNI!!
Guys its not about strong words rather ACTIONS

macho yako makavu sana kiasi kwamba unashindwa hata kusoma alama za nyakati. Kwa taarifa yako harakati na wabunge wa ccm ni mkakati madhubuti wa kuwapoteza wapinzani ili wasisikike tena. Ndiyo maana hoja nyingi siku hizi zinaibuliwa na wabunge wa ccm halafu chadema wanabaki kupiga mayowe kwa nyuma. Tafakari bwana mdogo.

i concur!!

Hii kauli ya Mh. Naibu spika imebeba ujumbe mzito sana!

Mkuu hii ni sarakasi nyingine tu........mimi wala sitegemei jipya kutoka kwa magamba. Hawa watu wanatia kichefuchefu mpaka kwa maiti.

iyo kaul itamkosti.

Pamoja na kuwa mimi naifurahia kauli hiyo ila nakubaliana na wewe littlex. Naamini si ajabu kwamba ikulu haikulala jana bali ilihakikisha kukicha leo, Jairo harudi kazini. Nakubaliana kuwa Naibu Spika anaweza kujikuta kwenye kona. Tuna historia ya Mhe. Six

Macho yako makavu sana kiasi kwamba unashindwa hata kusoma alama za nyakati. Kwa taarifa yako harakati na wabunge wa CCM ni mkakati madhubuti wa kuwapoteza wapinzani ili wasisikike tena. Ndiyo maana hoja nyingi siku hizi zinaibuliwa na wabunge wa CCM halafu CHADEMA wanabaki kupiga mayowe kwa nyuma. Tafakari bwana mdogo.

Hivi kati yako na MachoMakavu ni nani haoni? Aliyetoa hoja jana bungeni kuhusu Jairo ni wa chama gani vile? Nahisi utasema CCM! Hawawezi kuizima CDM kwa mchezo huo. Watajikwaa vibaya. Kumbuka wanachokifanya ni ku-copy na ku-paste. Mwenyecpy right ni CDM, na wananchi wanajua.

Back
Top Bottom