Kama CHADEMA ina wabunge vilaza kama hawa? Hawafai nchi!

Muda Mwingine Tuache Ushabiki Wa Kisiasa, So CDM Wapo Sawa Kwa Kila Kitu,.Mi Mwenyewe Ni Mwanachama Wa CDM,.Nimemcheki Ila Nilisikia Aibu Ya Kuendelea Kumuangalia, Hamna La Maana Alilochangia Zaidi Ya Kujiumauma!? Na Hii Si Mara Ya Kwanza Kuonge Pumba. Nadhani ndo Matatizo Ya Viti Maalumu, Af Ndo Alikuwa Ass. lecturer UDSM, Kwa Mtindo Huo Sijui Darasani Halikuwa Ana Lecture Nini!?
Kamanda una derserve senksi yangu maana umeweka itikadi pembeni na kusimamia ukweli. Na kama ulivyobainisha hii si mara ya kwanza kwa mbunge huyu kujadiliwa hapa kutokana na pumba zake. Abadilike maana anadhalilisha wabunge wa upinzani.
 
acheni umbeya nyinyi vijana wa David Cameron nyinyi mmemwona huyo tu wa CDM wa CCM hamuwaoni au unawashwa kusema? koma na toa hoja ya msingi
 
Wana jamvi, nimemtazama Esther Matiku akichangia muswada wa sheria ya manunuzi, akijimung'unyamung'unya maneno na kunukuu pasi kuwa na hoja hadi muda wake wa kuzungumza unaisha hana hoja aliyozungumza. MY TAKE; Kama CDM itakuwa an wabunge vilaza kama hawa na wakajilazimisha kuongea katika bunge ni wazi wanaonyesha namna chama hiki kisivyofanya utafiti wa kina wa aina ya mawazo watanzania wanataka kusikia katika kizazi cha leo. Mwisho inawezekana idadi ya wabungfe wa CDM itapungua katika uchaguzi ujao.

Huyu ni zezeta au? YES,sasa hapa tuchangie nini?Sema alichoongea nasi tuweze toa mitazamo yetu.
 
Wabunge wa viti maalumu toka vyama vyote weng hawana uwezo unaotakiwa, hizi nafasi bora wazifute lakn hajaongea pumba kama mtoa mada anavyodai..
 
Wana jamvi, nimemtazama Esther Matiku akichangia muswada wa sheria ya manunuzi, akijimung'unyamung'unya maneno na kunukuu pasi kuwa na hoja hadi muda wake wa kuzungumza unaisha hana hoja aliyozungumza. MY TAKE; Kama CDM itakuwa an wabunge vilaza kama hawa na wakajilazimisha kuongea katika bunge ni wazi wanaonyesha namna chama hiki kisivyofanya utafiti wa kina wa aina ya mawazo watanzania wanataka kusikia katika kizazi cha leo. Mwisho inawezekana idadi ya wabungfe wa CDM itapungua katika uchaguzi ujao.
Huu upuuzi umeuanzishia thread? Una akili za kuvukia barabara tu wewe
 
Wabunge wa viti maalumu toka vyama vyote weng hawana uwezo unaotakiwa, hizi nafasi bora wazifute lakn hajaongea pumba kama mtoa mada anavyodai..

Wapo pia wa majimbo ni vilaza balaa. Sio kweli waliogombea majimbo ni vichwa, walipita kwa rushwa tu, tena nafikiri ni vilaza namba moja.
 
Endelea kuota tu!!!
Wana jamvi, nimemtazama Esther Matiku akichangia muswada wa sheria ya manunuzi, akijimung'unyamung'unya maneno na kunukuu pasi kuwa na hoja hadi muda wake wa kuzungumza unaisha hana hoja aliyozungumza. MY TAKE; Kama CDM itakuwa an wabunge vilaza kama hawa na wakajilazimisha kuongea katika bunge ni wazi wanaonyesha namna chama hiki kisivyofanya utafiti wa kina wa aina ya mawazo watanzania wanataka kusikia katika kizazi cha leo. Mwisho inawezekana idadi ya wabungfe wa CDM itapungua katika uchaguzi ujao.
 
Changia katika hoja iliyopo hao wengine wawasilishe wewe mimi nimemuona hoyo kilaza kwa hiyo pinga hoja na sio kutoa lugha za matusi.
Mpe nafasi kwani kila binadamu kuna siku anakuwa nje ya reli hivyo nashauri chukua samples nyingi zaidi kum judge. Kumbuka kuna watu walisema tule nyasi, tena wameshika nafasi kubwa sana nchini. Hawa wa chadema wana hazina mbili 1.Uadilifu 2. Siasa . Sasa wewe unaangalia (2 tuu) kitu ambacho ccm wameshakosa (1) wamebakiwa na (2) tena wengine hawana vyote Mfano najua ungependa kusikia (ari mpya, tumeweza )ili hali ukiwa ni uwongo kabisa lakini kwako utaridhika.
 
Changia katika hoja iliyopo hao wengine wawasilishe wewe mimi nimemuona hoyo kilaza kwa hiyo pinga hoja na sio kutoa lugha za matusi.

Inawezekana ni tatizo la mfumo wa elimu chini ya utawala wa CCM ndio unasababisha matatizo kama haya.
Hili sio tatizo la wabunge wachadema tu ni tatizo la kitaifa ndio maana ukifanya utafiti utakuta
Mama yako
Dada yako
mke wako n,k
wanaweza wakawa kwenye hali mbaya ya kujenga hoja zaidi ya huyo mdada
 
basi huyu ndio mwenye akili na asie kilaza
268647_2300845959501_1199739939_32765643_2552099_n.jpg
Facts and Figure, Huyu ndo Genius wa Magamba.
 
Wana jamvi, nimemtazama Esther Matiku akichangia muswada wa sheria ya manunuzi, akijimung'unyamung'unya maneno na kunukuu pasi kuwa na hoja hadi muda wake wa kuzungumza unaisha hana hoja aliyozungumza. MY TAKE; Kama CDM itakuwa an wabunge vilaza kama hawa na wakajilazimisha kuongea katika bunge ni wazi wanaonyesha namna chama hiki kisivyofanya utafiti wa kina wa aina ya mawazo watanzania wanataka kusikia katika kizazi cha leo. Mwisho inawezekana idadi ya wabungfe wa CDM itapungua katika uchaguzi ujao.

Unastress.
 
sioni ajabu hawa wabunge wa chadema maana wao wanakariri2 wanachoelekezwa na wakuu wao,, hawana hoja unaweza kushangaa katika kuchangia hoja hy wakarukia mambo hata ya lema, nje ya mada, kweli ni vilaza hawa, na mtaji wao Maandamano.
 
Wana jamvi, nimemtazama Esther Matiku akichangia muswada wa sheria ya manunuzi, akijimung'unyamung'unya maneno na kunukuu pasi kuwa na hoja hadi muda wake wa kuzungumza unaisha hana hoja aliyozungumza. MY TAKE; Kama CDM itakuwa an wabunge vilaza kama hawa na wakajilazimisha kuongea katika bunge ni wazi wanaonyesha namna chama hiki kisivyofanya utafiti wa kina wa aina ya mawazo watanzania wanataka kusikia katika kizazi cha leo. Mwisho inawezekana idadi ya wabungfe wa CDM itapungua katika uchaguzi ujao.

Huwezi kuwa mahiri katika kila nyanja
 
Naona mada imekaa kimkakati zaidi...jana tulisikia mmoja akimzungumza Regia, na leo Esther. Halafu mtoa mada anahitimisha kwa kumwaga pumba zisizo na utafiti hata kidogo! wabunge wa CDM watapunguaje kutokana na wale wa viti maalumu kuongea vitu ambavyo wao wanaviona havina maana?

Kwa mtazamo wangu, CDM inafanya kazi mchana na usiku (hapa nasisitiza) na inaonekana inafanya hivyo. Angalia jinsi wanavyotuhamasisha wananchi na watu wanaungana nao!! Hivyo vyama vyenu vilivyolala usingizi na kusubiri kuiba kura...mwisho wake umeanzia mwaka 2010, na sote tumeona!!...sihitaji utafiti hapa...rejea kura za 2010.
 
wana jamvi, nimemtazama esther matiku akichangia muswada wa sheria ya manunuzi, akijimung'unyamung'unya maneno na kunukuu pasi kuwa na hoja hadi muda wake wa kuzungumza unaisha hana hoja aliyozungumza. My take; kama cdm itakuwa an wabunge vilaza kama hawa na wakajilazimisha kuongea katika bunge ni wazi wanaonyesha namna chama hiki kisivyofanya utafiti wa kina wa aina ya mawazo watanzania wanataka kusikia katika kizazi cha leo. Mwisho inawezekana idadi ya wabungfe wa cdm itapungua katika uchaguzi ujao.

ulimsikia waziri wenu ghasia siku ya world labour day akisoma hotuba wa kiingereza??? Wengi walilia kwa aibu aliotuletea nchi hii, hotuba yenyewe hakua anaitoa kichwani
 
kaka si kila mtu anauwezo wa kuongea licha ya kwamba anapoint sasa kilichowafany mawaziri kuchangia mswaada inamman hawakuhudhuria vikao vya mawaziri na kuchangia
 
Muda Mwingine Tuache Ushabiki Wa Kisiasa, So CDM Wapo Sawa Kwa Kila Kitu,.Mi Mwenyewe Ni Mwanachama Wa CDM,.Nimemcheki Ila Nilisikia Aibu Ya Kuendelea Kumuangalia, Hamna La Maana Alilochangia Zaidi Ya Kujiumauma!? Na Hii Si Mara Ya Kwanza Kuonge Pumba. Nadhani ndo Matatizo Ya Viti Maalumu, Af Ndo Alikuwa Ass. lecturer UDSM, Kwa Mtindo Huo Sijui Darasani Halikuwa Ana Lecture Nini!?
Tatizo jina lake Membe for 2015 na jina la title yake limegeneralize wabunge wote. Lakini swala la kuwakosoa CDM wachemkaji sio mbaya hata Rejia jana swali kwa waziri mkuu utoto mtupu. Viti maalumu wengine mbona powa ( Kamili, Komu, Owenya, Kiwelu, Lyimo, Konjesta, Kiwanga, Mhonga ). Kamanda Mbowe, Arfi, Slaa na Zitto. na nyie si mnasikia baadhi ya wabunge wenu viti maalumu. Hata kama wanawadhiri baadhi yenu ni lazima wapigwe panga. CDM kwa sasa wakina mama mahiri kibao. 2015 hatujazi nafasi tu zitakazoongezeka vilevile panga litapita. Sio lazima kuongea kama huna cha kuongea. CDM hatutaki rekodi ya kuongea sana Mjengoni tunataka rekodi ya kuongea pointi.
 
Kwa kweli nimemuona huyo mbunge yaani kichefuchefu kabisa.

Wako wnegi ndugu yangu, hata kule CCM. Kinachonisikitisha ni kwamba hawa wanawakilisha kundi la vijana ambao walitakiwa kuwa na weledi mkubwa ambao ungewafanya wachangie hoja zao kwa namna ambayo ingetufanya tuone kwamba future ni yenye matumaini. Kumbe ni yale yale!
 
Back
Top Bottom