OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 428
Wana jamvi, nimemtazama Esther Matiku akichangia muswada wa sheria ya manunuzi, akijimung'unyamung'unya maneno na kunukuu pasi kuwa na hoja hadi muda wake wa kuzungumza unaisha hana hoja aliyozungumza.
MY TAKE; Kama CDM itakuwa an wabunge vilaza kama hawa na wakajilazimisha kuongea katika bunge ni wazi wanaonyesha namna chama hiki kisivyofanya utafiti wa kina wa aina ya mawazo watanzania wanataka kusikia katika kizazi cha leo.
Mwisho inawezekana idadi ya wabunge wa CDM itapungua katika uchaguzi ujao.