kama CCM wasipoiangusha Chadema sasa basi watapoteza urais 2015.

Ccm bado ina nguvu kubwa sana, cdm wamejikita mijini tena mikoa mitano tu kati ya mikoa 29 wewe hapo unategemea nini? Tatizo la viongozi wa cdm hawashauriki tangu tuwaambie waende vijijini hawaelewi.

Ungukuwa mfatiliaji wa mambo usinge andika hivi.
 
ID yako na unachoandika vinaonyesha hujitambui.

Hivi hukujua hizo kanda ni sehemu ya tanzania?
Ktk urais wako hukujua harakati za uhuru zinahusishwa na wakazi wa Tabora na Pwani zaidi, je huoni uhuru uliletwa kikanda?
inamaana kuwa raisi wa migomo ndo inatakiwa uisapot cd em !
 
Godwin kwani hali ni mbaya sana? Mi niko kijijini bado wanashabikia hicho chama twawala.
Si vijiji vyote vinavyoshabikia huu ujinga wa ******* kama kwenu bado ni utimilifu wa wakati tu bado ila utafika na utakumbuka maneno yangu.. maisha magumu yapo kila pembe ya nchi hakuna haja tena ya kuhubiri kwa nguvu mpaka povu likutoke ila ujumbe unakwenda wenyewe.
 
Kiukweli ccm imeoza wanachotakiwa kukifanya cdm ni kutoa tu ule uozo na kwenda kuutupilia mbali ili harufu ya uozo isiwakere wananchi, cdm amkeni anzeni kuingia vijijini fungueni matawi mengi mpaka kwa wale wananchi wanaoamini mpaka leo kuwa mwl Nyerere bado yu hai na bado anatawala nchi ya TZ.
 
Nashauri akina FF waanze kutafuta madocta wa kuwahudumia mapema, couse, presha itawaua,
 
Tunashukuru kama kuna watu wanaamini ccm bado inapendwa ili kuwafariji waliofunga ndoa na chama hicho na wenye maslahi binafsi. Binafsi ninaamini ccm haipendwi na vijana wote walio nje ya mtandao wa maslahi ukiacha wenye matumaini na walioahidiwa nafasi ktk chama hicho. Vijana wenye maslahi ni hatari kwa jamii maana wana shahada za uongo vijana tuwe makini na hawa kwani mtawatambua kwa kulinganisha wanayowaeleza na hali halisi ilivyo. Hivi sasa wanatumia mbinu moja tu ya bi Kirembwe katika nchi ya Giningi ambapo nyeusi ni nyekundu na kinyume chake. Utawala huo ulifikia mwisho baada ya kujua wanadanganywa. Na sasa tz tumejua tunadanganywa, we subiri uone.
 
Watanzania
hatutaki tena unga ndere tumeshaonja unga rutuba, hivyo tunasema inatosha.
 
CCM wil rule Tanzania forever. Sijaona chama cha kuleta upinzani

Forever!! Angalia unachomaanisha kabla hujasema! Kama kitaendelea kuboresha maisha ya watz na kuwahakikishia kwa vitendo huduma za kijamii ikiwemo afya, elimu nk itabaki madarakani kwa muda mrefu mbali na hapo itatoka kwa amani au kwa nguvu. Huduma bora zinazofanana na utajiri wa maliasili tulizobarikiwa nazo ikiwemo gesi, mafuta, madini ya aina mbalimbali ardhi nk. Watz wengi wanaona nini kinachoendelea, ugumu wa maisha huduma duni au bila huduma, migomo ya wanavyuo na wanavyofukuzwa kwasababu ya uzembe wa viongoz wa wizara na bodi ya mikopo. Nani anayetaka hayo yaendelee forever?
 
Kiukweli ccm imeoza wanachotakiwa kukifanya cdm ni kutoa tu ule uozo na kwenda kuutupilia mbali ili harufu ya uozo isiwakere wananchi, cdm amkeni anzeni kuingia vijijini fungueni matawi mengi mpaka kwa wale wananchi wanaoamini mpaka leo kuwa mwl Nyerere bado yu hai na bado anatawala nchi ya TZ.

No! no! no! ... Kazi ya CDM ni kuufanya uozo huu ujulikane na kila mtz. Kazi ya kuuondoa 2015. Harufu hii CCM w
anaipenda. Ndiyo maana Kagoda, Richmond n.k. wanapeta mtaani.
 
Back
Top Bottom