Elections 2010 Kama CCM Inashindwa Kudhibiti Rushwa, Itazuiaje Air Pollution?

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Viongozi wa CCM Kila Leo Wanajitanza Wamefanikiwa na Wanaendelea Kupambana kwa Nguvu na Mali Kumaliza Rushwa. Hii ni Kweli Jamani? Kama ni Kweli Mbona Inchi Ingekuwa Mbali na Matokeo Tungeyaona. Chenge, Lowasa, Rostam, Mramba, Mkapa, na Marafiki Wenzao Wengi Si Wangekuwa Jela Leo Hii? Ushahidi Gani Tuupeleke Justice System ya CCM Wautumie? Majaji Wenyewe Ndio Hao Hawana Nguvu ya Kuamua Lolote Lile na Wanawasiwasi Kufukuzwa Kazi au Kufungwa Wao Wenyewe kwa sababu Aliewateua ni Huyo JK-CCM. Kikubwa cha Kupima Kama Rushwa Imeisha ni Upatikanaji wa Kazi Tanzania. Wanafunzi Wanasomeshwa na Hizi Institutions na Wanamaliza Wengi Kama Nini, Siju Wanawasomesha Kwa Sababu Gani? Wakimaliza Shule Hawana Kazi Kwa Sababu Hawamjui Mtu Yeyote Yule Makampuni Binafsi na Serikalini ila Generations ya Watoto wa CCM Wao Wapo Bank Kuu na Makampuni yao, Check This Out …Wanaanzisha NGOs. Atokae Kijijini Anajua Uwezo Gani Kupata Leseni ya kampuni au NGOs do… Wananchi Tumeoshaona Rushwa na Hujuma Zote Zitakufa Endapo CCM Itaondoka Madarakani na Katiba Mpya Ifanye Kazi Yake.

”Hizi Data Bank Kuu Inatumia to Calculate Inflation na Unemployment ya Inchi Zinapatikana Vipi, Mbona Huu Ndio Umaskini wa Uongo"
 
Sasa unataka waseme kwamba wameshindwa?
Tatizo almost the whole society imeoza! Corruption has metastasized accross all society sectors! anzia kwako! Acha kutoa rushwa ili upate upendeleo!
 
Back
Top Bottom