Elections 2010 Kama CCM inaamini ilishinda uchaguzi mkuu kihalali, basi UCHAGUZI MKUU URUDIWE!!!!!!!

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,533
196
Kama CCM inajiamini ilishinda uchaguzi wa Raisi kwa nini uchaguzi mkuu usirudiwe ili kuondoa uhasama na wa tu tukarudi kuendelea na shughuli za kujenga taifa??? Hamna wazee wenye busara nchi hii kutoa ushauri jamani??? Nashangaa Kikwete anahangaika kuunda baraza la mawaziri wakati ana mgogoro wa wapinzani kuhusu uraisi aliojipatia na kujiapisha kesho yake......
 
Ole wake amteue Mahanga kuwa waziri. 2015 asigombee Segerea.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom