kama ccm+cuf ilizaliwa ccm b, je sugu +ruge kwanini sugu asiitwe ruge b !

Ni Vinega wepi unaowaongelea wewe!!?? sheria ya hati miliki ipo na wanaohusika na mambo ya hati miliki ni BASATA nasio Ruge wala Clouds. Hivi kama kitu hujui ni kwa nini usikae kimya au ni kwa nini usiulize? huu ushamba mwingine ni wa kijinga sana.

kwani bila matusi huwezi jenga hoja mkuu !
Najua basata ndo wanadeal na iyo ishu ila jitaidi utafute alichokisema k wa maujanja ndio uje tena !
 
Yap mara ya kwanza alipokuja kuzindua album ya veto 2007 walipatana,wakaja kuzinguana tena kwenye dili la maralia sasa wamepatana ebu tuone hii movie ipo vp!

Mi nahisi wanataka wamzime kelele alizoleta juz juz kuhusu vazi la taifa.
Halafu ni wazi ruge kamzd mbilinyi upeo wa kufikili !
Na nnajua tu wanampango mzuri wa kumliza 2015 kwani si ni wageni na chama tawala !
 
Wanachadema a.k.a VINEGA hili limewahika pabaya! Hamuwezi kuhalalisha hili mkabeza muafaka wa Zanzibar! Ndio maana tulikuwa tunawaambia ni uchanga tu wa kisiasa ndio ulikuwa unawasumbua! VINEGA hamnazo!
 
Kesho andika KUFIKIRI.

Ingekuwa amri yangu, hizi shule za kata zingesimamishwa mpk tutakapopata walimu.

Nisaidie kifaa ulichopimia uwezo wa kufikiri, nina interest ya kupima wa kwako
 
salam kwenu wadau !
Nimejikuta nikimfananisha sugu kwa kumuita ruge b kwa kutizama maoni ya wadau wengi wanaolaumu kwa maamuzi aliyochukua ndg j. Mbilinyi kwa kuungana na mh. Ruge.
Wengi wanaona sugu alitumia nguvu ya umma kwa ugomvi binafsi.
Japokuwa vinega wanasema watu wengi hawajaelewa, swali langu je nani alipaswa kuwaelewesha watu hao !
Ulitakiwa ujikite kwenye mantiki ya kumaliza mgogoro na faida zake kwa wasanii, kuliko kuibua vimaneno maneno ya kebehi ya muafaka.Vinginevyo nakuona kama mmoja ya wale waliokuwa wanafaidika na mgogoro huo uliomalizwa.
 
Wanachadema a.k.a VINEGA hili limewahika pabaya! Hamuwezi kuhalalisha hili mkabeza muafaka wa Zanzibar! Ndio maana tulikuwa tunawaambia ni uchanga tu wa kisiasa ndio ulikuwa unawasumbua! VINEGA hamnazo!

Ninashida na hasa lengo lenu la kubeza muafaka wa wasanii hawa (SUGU+RUGE). hivi mlitaka ya 2PAC na BIG yatokee tena Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
 
​Taifa ni lazima lifike wakati libinafsishe wananchi wasio na mawazo ya kujenga
 
Pamoja na ndg nchimbi kuhusika ila mi bado nahic hii ni death of vinega nani atasimama tena kulilia haki zao?bongo kaz kwelikweli.

Vinega wamepigwa goli la kisigino mchana kweupe kabisa. Hakuna suluhu na mnyonyaji labda kama nawe unakuwa sehemu ya unyonyaji wenyewe.
 
Sugu amekubali muhafaka kwa maslahi ya sanaa ya bongo,tena uzuri maazimio yamewekwa kwa maandishi na yakasomwa mpaka kwenye tv ya taifa na waziri wa serikali...

Mi natoa angalizo kwa Nchimbi,Clouds na wasuluishi wengine kutofanya mzaa na ili suala sio dogo kama mnavyolichukulia,kama mliyafanya yote kwa nia njema basi mjue watu wanasubilia utekelezaji...
Ila kama mlifikili mnamchezea mchezo Sugu,basi mtambue hii ishu inaweza kuwageukia na kuwamaliza kabisa haswa clouds,kwani mchizi atakuwa amenawa mikono kwa commitment yenu,na atalaumiwa kwa kuwaamini tu...
Tunasubiri utekelezaji!
 
Ukweli ni kwamba CCM ni Clouds na Clouds ni CCM.

Katumia ugomvi kupromote albam,wasanii bwana.

Sugu ni Ruge b tuuuuuuuuuuu.
 
hivi ugomvi ulikuwa kati ya sugu na ruge (binafsi)

Au wasanii na ruge??

Kama ni wasanii na ruge basi sugu ametumika kuwahadaa wasanii ..
 
Kesho andika KUFIKIRI.

Ingekuwa amri yangu, hizi shule za kata zingesimamishwa mpk tutakapopata walimu.

Nisaidie kifaa ulichopimia uwezo wa kufikiri, nina interest ya kupima wa kwako
kwa maneno haya tu inaonesha ni jinsi gani kweli unazichukia shule za kata maana zimekufikisha pabaya !
 
Ulitakiwa ujikite kwenye mantiki ya kumaliza mgogoro na faida zake kwa wasanii, kuliko kuibua vimaneno maneno ya kebehi ya muafaka.Vinginevyo nakuona kama mmoja ya wale waliokuwa wanafaidika na mgogoro huo uliomalizwa.

mkuu umesema vizuri mi siwakebehii ila hawa jamaa wamepewa uhuru wa ahadi kwanini nasema ivyo ndio wao walikuwa wanawatuhumu akina adam, fetty,b 12, ncha kali kuwa wanachukua rushwa kwa wasanii ndio wao waliohamasisha watu wavunje line za airtel leo hii muafaka wamefanya na ruge pekee, je huoni kuwa sugu amefanya maamuzi ya yasiyo na tija na kuwasaliti watu waliokuwa wanamuunga mkono.
 
Ninashida na hasa lengo lenu la kubeza muafaka wa wasanii hawa (SUGU+RUGE). hivi mlitaka ya 2PAC na BIG yatokee tena Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

hapa naona ile kauli ya "WATANZANIA WANA NIDHAMU YA WOGA" haina maana tena !
Au sio mkuu.
Ila nashukulu sikuwahi kujua kuwa Ruge ni msanii.
 
Back
Top Bottom