kama ccm+cuf ilizaliwa ccm b, je sugu +ruge kwanini sugu asiitwe ruge b !

EL MAGNIFICAL

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
938
125
salam kwenu wadau !
Nimejikuta nikimfananisha sugu kwa kumuita ruge b kwa kutizama maoni ya wadau wengi wanaolaumu kwa maamuzi aliyochukua ndg j. Mbilinyi kwa kuungana na mh. Ruge.
Wengi wanaona sugu alitumia nguvu ya umma kwa ugomvi binafsi.
Japokuwa vinega wanasema watu wengi hawajaelewa, swali langu je nani alipaswa kuwaelewesha watu hao !
 
Sugu hajauza mechi mazeee hii kitu mbona iko clear na jana maazimio ya makubaliano ya huo mwafaka yamesomwa kabisa na waziri kupitia TBC, This is not politics magenge wamekinukisha mawaki wamesanda period!!!!!!!!
 
chief unafikili kwanini watu wengi wamegoma kumuunga mkono !
 
Sugu kafanya maamuzi magumu apewe sifa ila hii thread imekaa kinafikinafiki tu

tangu lini kuna upatanisho kati ya mnyonyaji na mpigania haki za wanyonge !
Sa iz naona hata kwenye wall zenu mnaandika cloudz, wafu fm imeisha sasa !
Hongereni vinega kwa suluhu.
 
Pamoja na ndg nchimbi kuhusika ila mi bado nahic hii ni death of vinega nani atasimama tena kulilia haki zao?bongo kaz kwelikweli.
 
salam kwenu wadau !
Nimejikuta nikimfananisha sugu kwa kumuita ruge b kwa kutizama maoni ya wadau wengi wanaolaumu kwa maamuzi aliyochukua ndg j. Mbilinyi kwa kuungana na mh. Ruge.
Wengi wanaona sugu alitumia nguvu ya umma kwa ugomvi binafsi.
Japokuwa vinega wanasema watu wengi hawajaelewa, swali langu je nani alipaswa kuwaelewesha watu hao !

Shule nayo muhimu jamani.

CCM na CUF = WAMEUNGANA

Sugu na RUGE = WAMEPATANA.

Do they have something politiko?
 
tuache kukurupuka kutoa maoni bila kusikiliza vizuri,,,maazimio yamefanyika chini ya mwamvuli wa serikali ,mapatano ni kitu cha kawaida katika vita kama hiyo ya maslahi ..alichofanya kibaya sugu nini? au mlitaka hadi siku moja clouds ichomwe moto ndio mjue kuwa mwafaka umefikia ,,makubaliano yasipotekelezeka hapo tunahaki ya kuhoji na kulaumu ila kwa sasa ni unafiki kufanya hivyo..
 
na bahati mbaya kwa sugu si mara ya kwanza kupatana na ruge.
Unafahamu maana ya CONFLICT RESOLUTION? maana humu kuna watu wenye upungufu wa uelewa, sasa ni bora uulize. Sugu na Ruge hawakupatana wenyewe bali wamepatanishwa na serikali. je unafahamu nguvu ya serikali ukishaonekana wewe ni tatizo na hupendi maridhiano?
 
ukiwasikiliza vinega ni kwamba mpaka sugu anapatana na ruge hata yemwenyewe hakutegemea muafaka lakini imetokea kutokana na misukumo mbali mbali ya wadau. Binafsi ningemuunga mkono kama angepigania mpaka kieleweke kwenye hati miliki kwa wasanii ndio washikane mikono !
Je mambo yasipotekelezeka ataludi kuwambia nini wananchi !
 
Ni Vinega wepi unaowaongelea wewe!!?? sheria ya hati miliki ipo na wanaohusika na mambo ya hati miliki ni BASATA nasio Ruge wala Clouds. Hivi kama kitu hujui ni kwa nini usikae kimya au ni kwa nini usiulize? huu ushamba mwingine ni wa kijinga sana.
 
Unafahamu maana ya CONFLICT RESOLUTION? maana humu kuna watu wenye upungufu wa uelewa, sasa ni bora uulize. Sugu na Ruge hawakupatana wenyewe bali wamepatanishwa na serikali. je unafahamu nguvu ya serikali ukishaonekana wewe ni tatizo na hupendi maridhiano?

hamna lolote hapa ukombozi umeingia giza !
 
na bahati mbaya kwa sugu si mara ya kwanza kupatana na ruge.

Yap mara ya kwanza alipokuja kuzindua album ya veto 2007 walipatana,wakaja kuzinguana tena kwenye dili la maralia sasa wamepatana ebu tuone hii movie ipo vp!

"Kwanza nilianza kurap kabla ya FM wkt david wakati ni mkurugenzi na watu wakanifahamu kama haupigi nyimbo zangu redion hamna maneno"---Dongo la sugu kwenda Wafu FM(Ruge)
 
Back
Top Bottom