Kama ana tabia hizi, jua umeoa mwanamke Malaya (slut)

1,3,4,7,9,10 sitakuja kusahau ndio zilikuwa sifa za girlfriend wangu wa kwanza,alikuwa mpare aisee alikuja kunikata wenge vibaya mno...Nashukuru mungu lilikuwa funzo kwangu na baada ya ku recover tangu hapo nilipata kumjua mwanamke ni kiumbe wa namna gani na ni jinsi gani natakiwa niishi nae, sahivi ni bata tu kilio nimekihamishia kwao! Got non to lose but they virginity:):):):):):)
Once you know them you live stress free life,lakini ukijifanya wewe ni wale wa "uko wapi"niko na jamaa yangu tunapiga story kidogo "nikifika nyumbani nikukute"mzee unaaga unakimbilia home,we ujuwe imekula kwako.
 
labda mimi ni mhafidhina mno na mkoloni lakini hiyo sababu namba tatu (3) huwa siielewi kabisaa! wengi wa wanawake huitumia hii kama kichaka kuficha tabia zao!nikiwa kama player mstaafu, najua risk ambazo mwanamke wa hivi is exposed to na sitataka awe mpenzi wangu unless anaweza give up all that ili awe na mimi
 
Tushawazoea lkn ndo ishakuwa hvyo hmna ujanja wa kutukwepa hao wny cfa hzo ndo waolewaji wanaume mlivyo mazuzu,na wapo wachangiaj hmu wke zao au wpnz wao wko hvyo na hawana pa kutokea wameshikika nyie ni malofa sna hii sanaa tulien tu!!!!
Sasa ina maana hapo ulipo nikikunyanganya pichu uliovaa nikairusha ukutani nina hakika itanata ukutani au vipi?
 
Unakutana na mwanamke anakung'uta safari lager kama mstaafu wa Tpdf! my brother andika maumivu...
Hawa wana genes mchanganyiko. Wachunguze wanaweza wakawa ni wanawake lakini hawana hisia na wanaume ila kwasababu ya mfumo wetu watakubali kulala na wanaume kiukweli hawa ni mashoga ukinipa sifa zote hizo nikizilinganisha na mashoga niliokutana nao maishani uliumwenguni wana sufa hizo, The same as gays huwa hawajui ni wa upande gani wanaishia kulewa, kutumia ,madawa ya kulevya na kujiua.
 
Ukweli mtupu mkuu na dawa yake kama unae ni kumlimit tu kila anachosuggest japo atakuibia tu atasingizia anaenda chachi
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom