Kama ana tabia hizi, jua umeoa mwanamke Malaya (slut)

Tushawazoea lkn ndo ishakuwa hvyo hmna ujanja wa kutukwepa hao wny cfa hzo ndo waolewaji wanaume mlivyo mazuzu,na wapo wachangiaj hmu wke zao au wpnz wao wko hvyo na hawana pa kutokea wameshikika nyie ni malofa sna hii sanaa tulien tu!!!!
Umeongea ukweli kabisa...hawa wanawake ndio waolewaji kuliko wenye tabia nzuri
 
Wakuu habari,
Leo nataka niwajulishe ndugu zangu waliooa,baadhi ya tabia ambazo ukiziona kwa mke wako,zaidi ya tabia mbili au zaidi jua umeoa Kicheche,na ujue hatabadilika,maana hakujifunzia hapo kwako.....watu wengi wameoa wanawake na wanakuja hapa jukwaani kulalamika mno,lakini kuna tabia ukiziona kwa mwanamke jihadhari nae kamwe hatatulia ndani milele.

Nazo ni:

1.Yupo social zaidi Yako: wanawake wengi malaya wapo social na humo huficha makucha yao kwa namna nyingi mno,ataenda kwenye parties,harusi,kitchen party,birthdays etc...ukiona yupo very mixed in It bro,huyo ni danger

2.Hana Hisia sana za kike:wanawake wengi malaya wanakua kama tomboy,wengi hawana zile hisia za kike kabisa,hana machozi ya karibu wala si mtu wa kudeka deka kabisa,ukiona mke yupo hivyo,nenda tu kanisani ukaombe mno

3.Ana marafiki wengi wa Kiume: hii inawachanganya wengi ila kiukweli katika marafiki 10 utakuta 9 washamgonga kimya kimya na kwa sababu unamuelewa kwamba yeye hapendi marafiki wa kike,jiandae kulia kilio cha mbwa mwizi kaka

4.Ana Matatizo na Baba Yake: kuna uhusiano mbaya wa wazazi hasa wakiachana,na hapa binti huwa anaharibika sana,na mahusiano yake na baba yake yanavyozidi kuwa mabaya na ukicheche wake unazidi,niamini kaka chunguza mabinti wengi ambao wana mahusiano mabaya na baba zao ...utanipm kwa mshangao,hili nina ushahidi nalo mno

5.watu kumkonyeza mbele yako;Hili wanaume wengi huwa hawalielewi ila ukiwa na mke na bado wanaume wengi wanamkonyeza au kumpa signal ukiwa nae usifikiri ni mzuri sana hapana ila ni body language yake anayoidisplay ndio inampa attention anayoitaka....huyo ni hatari ni kicheche qualified,wanaume hatutoti tu signal bila kupewa go ahead,kuanzia macho hadi mavazi ya mtu wako


6.anapenda Kunywa Pombe: hili liko wazi kabisa,ila ni hatari sana kama mke wako anapenda kunywa pombe peke yake maana anajua kabisa madhara ya pombe na hataki akilewa uwe around,huyu jua moyo wake unatanga tanga

7.Wivu kupitiliza: mwanamke kicheche ana wivu wa kupitiliza,hili naamini ni la kisaikolojia zaidiwe unaweza kuwa unamuamini ila yeye hatakuamini kabisa

8.alishawahi kucheat: mkiwa mke na mume mara nyingi mke atakupigia story za zamani,akikupigia story kwamba aliwahi kumcheat boyfriend wake wa zamani fahamu huyo ni kiboko,hawezi kuacha kucheat.

9.ametoa Mimba Nyingi: huyu hata sihitaji kukueleza ni kicheche,ila pia anakua na roho ngumu sana

10.ana wehu wakati mwingine:ulishaona humu ndani watu wanalalamika wanawake wanavunja vitu,wanawatukana na mengineyo,huo ni wehu,na wakiwa wehu wanawake wengi wanatulizwa na sex,kama haupo around,imekula kwako bro

haya ni maoni,sio lazima mtu akiwa na sababu moja ndio udhani yupo hivyo hapana,ila ni kama angalizo,watu wengi wameingia kwenye matatizo makubwa mno kwa kuingia kwenye mahusiano ambayo yamewatesa au yanaendelea kuwatesa mno,na kama mtapata watoto ndio inakua mbaya kabisa. jitahidi kuangalia hizo sababu na kama hujaoa epuka mwanamke wa aina hii,kama umeoa omba sana MUNGU akuonyeshe njia za kutatua la sivyo utakua kichaa na wewe
50 FACTS ABOUT YOUR WIFE.
1. Your wife is not perfect, forgive her.
2. Your wife is the bone of your bone, do not break her.
3. Your wife is a gift, appreciate her.
4. Your wife is a rare gem, guide her jealously.
5. Your wife is your best friend, be friendly with her.
6. Your wife is your joy, nourish her.
7. Your wife is to be cherish, be cheerful to her.
8. Your wife is your portion, cherish her.
9. Your wife is not a devil, don’t dump her.
10. Your wife is not only good for sex, carry her along in every issue.
11. Your wife is not your enemy, encourage her.
12. Your wife is not a family material, never commit her unto the hand of your family members.
13. Your wife is not your rival, don’t compete with her.
14. Your wife is a female gender, honor her.
15. Your wife is not common, don’t compare her.
16. Your wife is not a wash hand base, stop abusing her.
17. Your wife is a weaker vessel, handle her with care.
18. Your wife is a beautiful queen, celebrate her.
19. Your wife is not a fighter, don’t fight her.
20. Your wife is not a punching bag, don’t beat her.
21. Your wife is not a game, don’t play her.
22. Your wife need foreplay, don’t rape her.
23. Your wife is a hook, get hook to her.
24. Your wife is all you love, praise her.
25. Your wife is important, honor her.
26. Your wife is what u make her to be, accept her.
27. Your wife is your joy, pursue her.
28. Your wife needs your honor, never embarrass her in the public.
29. Your wife is not a knife, be nice to her.
30. Your wife is a distinct personality, never compare her to any work.
31. Your wife is loyal, don’t be suspicious of her.
32. Your wife is not a fool, listen to her advice.
33. Your wife is not malicious, do not keep malice with her.
34. Your wife is the best friend you can have, befriend her.
35. Your wife is not a napkin, do not misuse her.
36. Your wife is not your house girl, support her in the kitchen.
37. Your wife is passionate, do not by- pass her.
38. Your wife is very important to you, never for forget her birthday.
39. Your wife is a queen, do not quarrel with her.
40. Your wife is not the only owner of the sit, help her to baby sit.
41. Your wife is reasonable, do not under- rate her.
42. Your wife is your responsibility, provide for her.
43. Your wife is yourself, do not separate her bed.
44. Your wife is number one in your life, never replace her with your mum.
45. Your wife is your treasure, jealously guide her.
46. Your wife need your help, help her.
47. Your wife need your full attention, do not give it to T.V set.
48. Your wife is valuable, add more value to her.
49. Your wife is your crown, do not abandon her.
50. Handle her with care.
THANKS.
 
Wakuu habari,


1.Yupo social zaidi yako: wanawake wengi malaya wapo social na humo huficha makucha yao kwa namna nyingi mno,ataenda kwenye parties,harusi,kitchen party,birthdays etc ukiona yupo very mixed in It bro,huyo ni danger.
Hapo namba moja ni hatari sana! mara vikoba ...
 
Back
Top Bottom