Kalibu,a nimekosea hodi jaman mpaka chumbani.

Nicha

Member
Jun 6, 2011
10
0
Wanandugu wa jf ni mimi nichaaaaa wa wa kuelimisha vichaaaa ndo nimejitosaaa kama kawaida ya wanajamii haswaaa,naombeni kura zenu?
 
Wanandugu wa jf ni mimi nichaaaaa wa wa kuelimisha vichaaaa ndo nimejitosaaa kama kawaida ya wanajamii haswaaa,naombeni kura zenu?

Karibu mkuu, lakini usiwe na haraka wakati unaandika!!! :becky:
 
karibu, ngoja nimtafute Katavi akuletee kinywaji. Subiri hapo hapo sebulen, chumban marufuku.
 
Kwa hio heading na huo utambulisho ni evident kua
una deal na hao watu vichaa... hapa JF wapo wengi tu
Ni matumaini yangu kua pia unajua jinsi ya kuwatambua
si tu kuwatibu...

Karibu saana... na naamini utafanya kazi nzuri...
 
Back
Top Bottom