Kali ya ZeComedy kuhusiana na ushirikina

Status
Not open for further replies.

Malila

JF-Expert Member
Dec 22, 2007
5,149
4,674
Jana niliona kipindi hicho kwa sehemu. Muigizaji huyo alisema kwa kuwa,watu hutafuta viungo vya binadamu wenzao (kucha,ngozi,vichwa,viganja) kwa maelekezo ya waganga wa jadi,basi ili kukomesha hili jamii kwa mtindo ule ule wa hear say,ivumishe kuwa viungo vya waganga wa kienyeji dili sana ktk biashara. Hapo mtaona moto wake.

Jf mpo hapo,mathalani iwe ukipata macho ya mganga wa kienyeji utakuwa na uwezo wa kuona madini yalipo bila taabu,kama yeye aonavyo.
 
kwa kweli inaweza kupunguza kidogo hii kitu ya kutafuta mwenye kipara, albino, kubaka kikongwe n.k
 
Ngoma mukide; ngoma suluhu.

Hilo ndio suluhisho la kudumu la waganga wa jadi kuwadanganya wateja wao.

BIGUP! The Original Comedy
 
Duh hiyo noma wazee..... haikubali! waganga wa jadi wana umuhimu wao, tena ndo wameweka madarakani zaidi ya 90% ya viongozi wa inji hii. Na wanasaidia kulinda nyazfa zao. Waguse uone!!!! Unafanya mchezo...... au hujipendi? Teh teh teh
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom