Kali ya J.mosi: teja yupo active vibaya mno!!!

Gody

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
1,246
411
Teja kaenda dukani.
1st day TEJA: naomba chakula cha mbwa

MUUZAJI: Una mbwa kweli? Sikupi mpaka umlete huyo mbwa

(2day) TEJA: "naomba chakula cha paka

" MUUZAJI:"mlete paka kwanza ndio nikupe

" (3day) TEJA: "naomba chakula cha kuku jamani

" MUUZAJI:"kuku mwenyewe yupo wapi? Sikupi mpaka nijionee" Baada ya wiki teja akarudi kwa duka na mfuko akampa muuzaji

MUUZAJI:"aisee hii ni ki2 gani? Mbona laini hivi halafu motomoto!!"

TEJA:"huo ni uharo... Haya naomba toilet paper!!!!!!! Teh teh
jioni njema!!
 
Hahahaaahahahaahahahahaha

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom