Kalenda za Uchochezi Zakamtwa Uganda.

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,495
3,458
kalenda zaidi ya laki 7 za TWAWEZA zimekamatwa na polisi wa Uganda katika mpaka wa Tanzania na Uganda mtukula zikiwa zinaingia Uganda. kisa cha kukamatwa ni kwamba zina maneno ya uchochezi. Hizo kalenda zimesha gawiwa Tanzania na kenya bila tatizo lolote. katika kalenda hizo zina picha za Kiza Besige Bank Moon. Source DW.
 
Kiranja hii hata mie nimeisikia DW. Ni za NGO inayoitwa Twaweza ni NGO dada na HakiElimu kama sijakosea mwanzilishi wake ni yule Mhindi wa Ibadakuli Rakesh Rajan. Ila jamaa huwa wana vijembe?!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom