Kalenda- tuelimishane

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Wakuu
Tutumie uzi huu kuelimishana kuulizana na uhabarishana juu ya masuala mbali mbali kuhusu KALENDA
  • Kuna kalenda aina ngapi?
  • Zinafuata mfumo gani?
  • Tofauti ya aina moja ya kelenda na nyingine ni nini?
  • Usahihi wa hizi kalenda na ni vipi zinafidi mapungufu
  • etc
NB
Kupitia mtandao nimedodosa na na kuona kuna kalenda kuu mbili znazotumika sana duniani "gregoarian" na kalenda ya kufuata mzunguko wa mwezi(Lunar). Vile vie nimeona kuwa hata wamereani wamisri na wachina walikuwa au wana kalenda zao.

Tuelimishane, tuhabarishane
 
Mi limenichanganya swala dogo sana la mambo ya saa eti saa 7 ni saa 1 na saa 8 tunaita saa mbili.Hilo la calenda ndo nalifanyia kazi nipo na li google search engine.Nisaidie na tatizo langu nitarudi kwenye swala la kalenda ila kuna ma complicator wa kisabato wanajua sana hiyo kitu.
 
Back
Top Bottom