Kakobe vs Vyama vya Upinzani?

Hakuna ubishi kwamba udhaifu wa vyama vya upinzani dhidi ya CCM uko wazi. Lakini mimi ningependa pia tuangalie juhudi za dhahiri za baadhi ya wapinzani ambazo zimetoa changamoto si kwa CCM tu bali hata kwetu wa-Tanzania wengine. Sitaki kurudia kutaja yaliyo wazi hasa kuhusu matendo ya ufisadi uliolazimisha Serikali (hatimaye) kukiri na kudai kuchukua hatua.

HATA KAMA BADO JUHUDI HIZO ZIMESHINDWA KUBADILI STATUS QUO BASI SIDHANI KAMA NI VYEMA KUWABEZA HAO WACHACHE WALIOAMUA KUBEBA BANGO LA UPINZANI KWA DHATI (These people are not a monolithic block, by the way).

Kama ni udhaifu wa upinzani, mtazamo wangu mimi, tatizo ni sisi wa-Tanzania wote. Inakuwaje katikati ya utendaji mbovu ikiwa ni pamoja na unyanyasaji unaoendelezwa katika mfumo wa ukiritimba wa chama kimoja (virtually) tunashindwa kujitoa kuimarisha uongozi na kuunga mkono chama/vyama mbadala (upinzani imara) na tunaendelea kutoa zawadi ya ushindi wa kishindo kwa chama kimoja (CCM) kwa ama kukipigia kura nyingi au kutoshiriki uchaguzi kwa tusioridhika na status quo.

Kujaribu kulinganisha upinzani (siasa) na Kakobe (dini) ni kwenda nje ya mantiki.

Wahenga walisema ukishajua tatizo uko karibu kupata suluhisho, tukishafahamu kwamba hatuna viongozi katika upinzani wenye guts kama kakobe tumekaribia kupata solution..tukiendelea kuamini kwamba slaa ni godfather, wakati hawezi hata kuaminiwa na watu 10 kwenye department yake then hatutafika mahali

Wananchi hawana makosa yoyote wanamsubiri mwalimu anaweza kuwafundisha somo la siasa..hasa za upinzani..tutafute mandela na raila wetu..tusipumbazwe na watu waio na uwezo kama walioko sasa.
 
Hakuna ubishi kwamba udhaifu wa vyama vya upinzani dhidi ya CCM uko wazi. Lakini mimi ningependa pia tuangalie juhudi za dhahiri za baadhi ya wapinzani ambazo zimetoa changamoto si kwa CCM tu bali hata kwetu wa-Tanzania wengine. Sitaki kurudia kutaja yaliyo wazi hasa kuhusu matendo ya ufisadi uliolazimisha Serikali (hatimaye) kukiri na kudai kuchukua hatua.

HATA KAMA BADO JUHUDI HIZO ZIMESHINDWA KUBADILI STATUS QUO BASI SIDHANI KAMA NI VYEMA KUWABEZA HAO WACHACHE WALIOAMUA KUBEBA BANGO LA UPINZANI KWA DHATI (These people are not a monolithic block, by the way).

Kama ni udhaifu wa upinzani, mtazamo wangu mimi, tatizo ni sisi wa-Tanzania wote. Inakuwaje katikati ya utendaji mbovu ikiwa ni pamoja na unyanyasaji unaoendelezwa katika mfumo wa ukiritimba wa chama kimoja (virtually) tunashindwa kujitoa kuimarisha uongozi na kuunga mkono chama/vyama mbadala (upinzani imara) na tunaendelea kutoa zawadi ya ushindi wa kishindo kwa chama kimoja (CCM) kwa ama kukipigia kura nyingi au kutoshiriki uchaguzi kwa tusioridhika na status quo.

Kujaribu kulinganisha upinzani (siasa) na Kakobe (dini) ni kwenda nje ya mantiki.

Upinzani upi unaotoa changamoto na wanaffunzi wepi?

Huwezi linganisha changamoto alizozitoa Mrema mwaka 1995 na changamoto finyu zilizopo leo 2010.

Wanafunzi tulioelewa upinzani wa 1995 ndo hao hao hatuwaelewi upinzani wa 2010. ukiangalia graph inavyoporomoka utagunduwa walimu ndo wabovu.

wanafunzi wangekuwa wabovu kama graph ingekuwa ina kuwa kwa rate ndogo.
 
Mkuu kwenye maisha watu wenye akili wanajifanyia assesment wenyewe na kuchagua wawe viongozi maeneo gani nafikiri kina mbowe slaa etc walichagua baada ya kufanya asssesment zao wenyewe kwamba ni viongozi wa kitaifa wa kisiasa? sasa nasema je wanaweza kufanya alichofanya kakobe hawawezi kwasababu hawana wafuasi wanaowaamini ..then waji assses wenyewe kwamba ni failure

Mimi nimeji assses mwenyewe nikachagua kuwa kiongozi wa biashara zangu kazi ya yangu ni kuhakikisha my business inaendelea kubaki, profitable na nina uwezo wa kulipa wafanyakazi wangu..period! huko ndiko nilikochagua na hapo viongozi wenzangu (wafanyakazi) wananiamini na wananifuata siku nikishindwa kuwashawishi kwa hoja naachia ngazi hicho ndicho yardstick

Kina slaa na mbowe wamechagua siasa wakiwa hawawezi for all those years kudai mambo ya msingi kama katiba, tume huru, etc na kuwaelimisha wananchi nikiwemo mimi niwafuata naweza kusema hawano uwezo..period!

Tatizi lako Tumain huwa huweki kumbukumbu kichwa ya uliyosema jana uliwahi kutuambia tumuogope Kakobe kwa sababu ni sawa na Kibwetere wa Uganda kwamba kuna siku atawaangamiaza waumini wake leo Kakobe unamwona hero kesho akiwaongoza watu kuingia mitaani au kuandamana kwenda ikulu utasemaje

masuala ya imani yeyote ile iwe ya kidini au ya kisiasa huwa magumu sana leo hii muumini wa CCM aliyekunywa maji ya bendera huwezi mwambia Kikwete anaudhaifu kiutendaji hata kama udhaifu huo u dhahiri atautetea kwa nguvu zote sembuse muumini wa dini aliyeahidiwa uzima wa milele

kwa hiyo inakuwa ni rahisi sana kwa Kakobe kumobilize waumini wake kuliko huyo Mbowe na hata Kikwete imani ya dini imejengwa katika misingi ya spirit roho (idealism) si lazima muumini aone matokeo leo tofauti na imani ya kisiasa iliyojengwa kwenye facts (materialism) ambayo muumini wake anataka kuona matokeo yake leo
 
Nikijiunga nao niwe zezeta? mbona wanafukuzana hovyo, unafikiri mimi nitapona huko? yaani nisiulize Mbowe kaipa Chadema sh. ngapi na mpaka sasa ahivi amelipwa sh. ngapi,. kama wewe usiyeijua Chadema kiundani uko hivi je wenye chama?

Kubali kuwa havina sura ya kitaifa

Nimekuonya mara nyingi sentensi unazozisema ni kukosa hoja, leo wakisemwa Polisi, basi niwe polisi, au haujawahi kukosoa watendaji serikalini?

nikikomkosoa JK, basi niwe rais!, nikisema manesi hospitali ya Temeke wana roho Mbaya, kesho huyooo nikavae nguo nyeupe niwe nesi

jibu hoja!

Waberoya
sidhani kama una uwezo wa kunionya mimi hata kama ukiwa nao huwezinifanya chochote hata kama ukisaidiwa na yeyote unaye mdhania kama tuna different thoughts tujenge hoja na si kuonyana kama huna hoja zaidi ya kila siku kulia na Mbowe na Slaa basi pumzika au anzisha forum yako uwe anaandika unayoyapenda na kujijibu but whenever you bring to public your bogus points i have all rights to react on them the way i see and not the way you want shame on you and respect!
 
Tatizi lako Tumain huwa huweki kumbukumbu kichwa ya uliyosema jana uliwahi kutuambia tumuogope Kakobe kwa sababu ni sawa na Kibwetere wa Uganda kwamba kuna siku atawaangamiaza waumini wake leo Kakobe unamwona hero kesho akiwaongoza watu kuingia mitaani au kuandamana kwenda ikulu utasemaje

masuala ya imani yeyote ile iwe ya kidini au ya kisiasa huwa magumu sana leo hii muumini wa CCM aliyekunywa maji ya bendera huwezi mwambia Kikwete anaudhaifu kiutendaji hata kama udhaifu huo u dhahiri atautetea kwa nguvu zote sembuse muumini wa dini aliyeahidiwa uzima wa milele

kwa hiyo inakuwa ni rahisi sana kwa Kakobe kumobilize waumini wake kuliko huyo Mbowe na hata Kikwete imani ya dini imejengwa katika misingi ya spirit roho (idealism) si lazima muumini aone matokeo leo tofauti na imani ya kisiasa iliyojengwa kwenye facts (materialism) ambayo muumini wake anataka kuona matokeo yake leo

Nimesema kakobe simuungi mkono ila ameonyesha kwamba anaweza kuwa leader mzuri kupita upinzani kwangu mimi kama wewe ni kiongozi halafu huna wafuasi wenye kukuamini then kuna tatizo

Soma # 50, kuna wanasiasa wameweza lakini Tanzania hatuna zaidi ya Maalim seif wa CUF
 
How sure are you kwamba Maalim Seif kafanikiwa
 
Kimsingi hueleweki unamlinganisha Kakobe na wapinzani kivipi. Ulitaka watanzania wawe kama watu wa Kakobe wazembe na wanaotegea kujenga taifa letu kwa kufanyakazi badala yake wanakaa barabarni,. Nilishaandika kuhusu hili na nikasema ningekuwa mkuu wa mkoa ningetoa amri wale wakamatwe kama wazururaji na wafunguliwe mashtaka wenye kazi watajulikana huko huko na wasio na kazi wanaishia jela tuone kama wataweza kusali hao wazururaji watoke ndani. Tafadhali usishabikie mambo yasiyo na mbele.
 
Naweza kuasema bila dought wazanzibar wanamuamini na kumfuata kwa lolote asemalo..matunda yake yanaonekana muafaka, mseto etc...kutokana na shinikizo la watu wenye kumuamini kiongozi wao mwambie slaa afanye hivyo..tuone?
 
Tatizo lako wewe huelewi lugha ya mifano pole. soma vizuri thread #1
 
Naweza kuasema bila dought wazanzibar wanamuamini na kumfuata kwa lolote asemalo..matunda yake yanaonekana muafaka, mseto etc...kutokana na shinikizo la watu wenye kumuamini kiongozi wao mwambie slaa afanye hivyo..tuone?

Kwa upande wa CUF zanzibar hapo tupo pamoja mafanikio tunayosubiri huko si kwamba yanatokana na Seif pekee bali pia kaliba ya watu wa huko lakini ni mapema mno kuanza kumpa credit zote kwa vile upande mwingine inaweza kuonekana kama weakness kiongozi ambaye hana msimamo amefanya u-turn hakumtambua Karume miaka 4 leo anakumbuka shuka asubuhi

Unasema nimwambie Slaa afanye hivyo hebu na wewe mwambie Lipumba au huyo huyo Seif aje huku bara awaambie wafanye hivyo hivi Seif uongozi wake hauvuki bahari maana yeye ni Katibu mkuu wa CUF bara na zanzibar au nakosea
 
Mandela alikuwa na dini gani ndugu?

Raila ni dini gani?
Mandela ilikuwa ni rahisi kumobilize watu kwa sababu watawala walikuwa weupe wachache.Na Raila vilevile ana core support ya Luo community Vs Kikuyu. Katika mazingira kama hayo unakuwa na mahali pa kuanzia.
Siasa za hapa kwetu bado tunahangaika kupata kitu cha pamoja ambacho kinaweza kuvuta na kupata support ya nguvu ya umma.Wapinzani wamejaribu kutumia suala la UFISADI, lakini ilikuwa bahati mbaya watuhumiwa wakarudi kwenye makabila/imani zao na kusambaratihsa mshikamano.
 
Sijaelewa unamaanisha nini kaliba ya watu wa huko? una maana wazanzibar wanakaliba ya upinzani\? nafikiri tukubaliane kwamba upinzani bila kiongozi mzuri ni rahisi kusambaratishwa na watawala maana hawalali kufanya hila! so Maalim anastahili pongezi kwa kuaminiwa na kufuatwa na wazenj

Bado naamini Lipumba na Seif wanaweza kuweka mshinikizo na wanachama wao wakaenda barabarani kwa wingi kuliko Slaa na Mbowe! sijui ni kwanini hawaweka watu kudai katiba na tume huru hapo siwaelewi! bahati mbaya mimi si mwanachama wao ila nawaamini zaidi kuliko kina slaa na mbowe kwa ushawishi
 
Mandela ilikuwa ni rahisi kumobilize watu kwa sababu watawala walikuwa weupe wachache.Na Raila vilevile ana core support ya Luo community Vs Kikuyu. Katika mazingira kama hayo unakuwa na mahali pa kuanzia.
Siasa za hapa kwetu bado tunahangaika kupata kitu cha pamoja ambacho kinaweza kuvuta na kupata support ya nguvu ya umma.Wapinzani wamejaribu kutumia suala la UFISADI, lakini ilikuwa bahati mbaya watuhumiwa wakarudi kwenye makabila/imani zao na kusambaratihsa mshikamano.

Je huoni kwamba utawala wa sasa ni CCM wachache..
 
kwa kweli tumaini habari yako inasikitisha sana
yaani ni ukweli wapinzani wameshidwa kudai katiba na kakobe ameweza kudai haki yake.

hii ni dhairi kwamba waTZ wanawaamini sana viongozi wa dini kuliko mtu yeyote na hili jambo ccm wanalijua na ndio maana ccm wako tiyari kuwalamba viongozi wa dini miguu ili wao waendelee kukaaa madarakani.
siku masheikh na mapadri watakapokuwa wamoja na kudai katiba huo ndio utakapokuwa mwishho wa ccm
 
Nilikuwa sijafikiria hii ya kuwatumia viongozi wa dini kama wanaharakati...wa kisiasa, however, it make sense kama hakuna au hatokei kiongozi mzuri kutoka kwenye vyama vya siasa
 
Mandela ilikuwa ni rahisi kumobilize watu kwa sababu watawala walikuwa weupe wachache.Na Raila vilevile ana core support ya Luo community Vs Kikuyu. Katika mazingira kama hayo unakuwa na mahali pa kuanzia.
Siasa za hapa kwetu bado tunahangaika kupata kitu cha pamoja ambacho kinaweza kuvuta na kupata support ya nguvu ya umma.Wapinzani wamejaribu kutumia suala la UFISADI, lakini ilikuwa bahati mbaya watuhumiwa wakarudi kwenye makabila/imani zao na kusambaratihsa mshikamano.

Mrema 95 alianzia wapi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom