Kakobe Ni mwanasiasa?

Umetumia maneno mengi basi plain!

Kakobe anaongoza maelfu ya waumini,ambao ana uwezo mkubwa sana wa KU-CONTROL & MANIPULATE their mindsets

Can you actually prove kanisa lenye PhD holders, professors, professionals wa kila aina wamekuwa manipulated na kuwa-controlled na Kakobe!!

ndiyo sikutaka kubishana na wewe ila next time, peleleza kwanza, what we think and hear is sometime very far away from the truth.

Sisali kwa kakobe usifikir muumini wake, but i know him

naanza kupata mashaka na uelewa wako wa kawaida mkuu...DO YOU THINK THAT PhD holders, Professors,na Professionals wa kila aina hawawezi kuwa MANIPULATED??? Umewahi kusikia kitu kinaitwa SICK SOULS?? Kwa taarifa yako sasa,SICK SOULS ni ugonjwa unaompata mtu YEYOTE,hata awe na PhD mia mbili,uliza mkuu,si vibaya kuelimishwa,this is JF....
 
Mkuu ulishachemsha tangu awali naona unajificha kwenye kivuli cha kuwa hii ni JF!! kwa taarifa yako maamuzi ya Kakobe hafanyi yeye mpaka wazee wa kanisa lake wapatao 40 wakae na kuamua! umetoa tuhuma za uongo na nimekueleza hujafanya utafiti wako , naona unarudi na kusema hii ni JF! unifundishe!! Kakobe hakwenda TANSECO walienda wazee wa kanisa kutoa malalamiko yao! hawakuelewana na uongozi wamerudi wamefanya kikao na wakaamua jinsi walivyoamua, sasa hiyo ya Kakobe kuwa anawacontrol na kuwa manipulate inatoea wapi??

Haya wewe unayeijua JF zidi kunifundisha, ulishachemsha ukapewa ushauri fanya utafiti, umerudi na theory za awali zile zile! haya ugonjwa huu unaitwaje tena?? ugonjwa wa kutopokea ushauri kiungwana??

angalia na upepo wa watu walivyoipokea meseji yako, umetoa lawama pasipo, JF si wote wana akili kama wewe!!

JF hii hii huwa tunatoa taarifa kwa utafiti pia!! this very same JF where you can teach me, you know what, I am ready kufundishwa na wewe!

sick soul??!!! kwa hiyo members wote wa kakobe wako depressed and pessimistic? maana kwa knowledge yangu ya kawaida sick soul ni watu walio drepreesed and pessimistic, sijajua correlation ya sick soul and manipulation, yes kama wapo siamini pia wote wanaugonjwa huo!

Can you kindly give us that reference so that we may know more about this sick souls?? as you said JF ni kisima cha elimu
 
unarukaruka sana mkuu, hoja yako ni ipi sasa?? nilikuelimisha mwanzo kabisa,kwamba 'MWANASIASA' hapa inamaan yake plain....ukaja na ishu za wasomi na professionals kwa Kakobe, kwamba eti hawawezi kuwa manipulated!! Nimekujibu,umebadilika tena!! Unajua maana ya TUHUMA mkuu?? Je,unadhani kikao cha WAZEE 40 hakiwezi kukosea pia?? Au hujui kwamba kikao kinaweza kuwa cha watu wengi lakini mwenye final say akawa mmoja?? By the way, unaweza kutuambia walichoenda kuongea TANESCO? Na unadhani maamuzi waliyochukua kwa sasa ni sahihi?? Soma vizuri hoja yangu mwanzo kabisa,then anza kujibu upya mkuu......
 
Aende zake alipokuwa akijenga hilo kanisa hakujua kuwa kuna barabara? na kwa nini asitoe hati kama ameonewa? anajenga barabarani halafu anataka kutumia ushawishi wa dini kukwamisha maendeleo! piga nyundo kanisa lile!

Hajajenga barabarani, kajenga kwenye kiwanja kilicho pembeni ya barabara.

Tanesco wababaishaji,huwezi kupitisha umeme mkubwa pale,si kakobe peke yake atakayepata madhara,wakazi wa maeneo yale pia watapata madhara makubwa.
 
Mkuu ulishachemsha tangu awali naona unajificha kwenye kivuli cha kuwa hii ni JF!! kwa taarifa yako maamuzi ya Kakobe hafanyi yeye mpaka wazee wa kanisa lake wapatao 40 wakae na kuamua! umetoa tuhuma za uongo na nimekueleza hujafanya utafiti wako , naona unarudi na kusema hii ni JF! unifundishe!! Kakobe hakwenda TANSECO walienda wazee wa kanisa kutoa malalamiko yao! hawakuelewana na uongozi wamerudi wamefanya kikao na wakaamua jinsi walivyoamua, sasa hiyo ya Kakobe kuwa anawacontrol na kuwa manipulate inatoea wapi??

Haya wewe unayeijua JF zidi kunifundisha, ulishachemsha ukapewa ushauri fanya utafiti, umerudi na theory za awali zile zile! haya ugonjwa huu unaitwaje tena?? ugonjwa wa kutopokea ushauri kiungwana??

angalia na upepo wa watu walivyoipokea meseji yako, umetoa lawama pasipo, JF si wote wana akili kama wewe!!

JF hii hii huwa tunatoa taarifa kwa utafiti pia!! this very same JF where you can teach me, you know what, I am ready kufundishwa na wewe!

sick soul??!!! kwa hiyo members wote wa kakobe wako depressed and pessimistic? maana kwa knowledge yangu ya kawaida sick soul ni watu walio drepreesed and pessimistic, sijajua correlation ya sick soul and manipulation, yes kama wapo siamini pia wote wanaugonjwa huo!

Can you kindly give us that reference so that we may know more about this sick souls?? as you said JF ni kisima cha elimu

Hajajenga barabarani, kajenga kwenye kiwanja kilicho pembeni ya barabara.

Tanesco wababaishaji,huwezi kupitisha umeme mkubwa pale,si kakobe peke yake atakayepata madhara,wakazi wa maeneo yale pia watapata madhara makubwa.

ni vema ukiwapa ushauri hawa TANESCO mahali pa kupitisha umeme....
 
Hajajenga barabarani, kajenga kwenye kiwanja kilicho pembeni ya barabara.

Tanesco wababaishaji,huwezi kupitisha umeme mkubwa pale,si kakobe peke yake atakayepata madhara,wakazi wa maeneo yale pia watapata madhara makubwa.

Hilo la kujenga au kutojenga barabarani siwezi kuliongelea lakini uliza watu nini kilimpata Kakobe baada ya Ben kushinda 2000!

Hilo la Madhara ningekuuliza swali!

Unafikiri Umeme unaowaka kwangu, kwako au kwa Kakobe umefika hapo kimiujiza? Unafikiri umepita juu ya paa za Wanyama

Kuna watu wa Ajabu sana, ni sawa na Mbunge mara analalamika Jimboni kwake hakuna Mawasiliano mazuri ya Simu z mikononi at the same analalamikia juu ya Athari za Mionzi itokayo kwenye minara hiyo.

Kama kweli kuna madhara yeyote ni nani anayelipa madhara hayo kwa umeme unaowaka kwangu, kwako au kwa Kakobe.

Jamani hawa Viongozi wetu wa Dini hawajui technical issues tusiogope kuwaelimisha eti kwa Sababu tunaamini wako karibu na Mungu kuliko sisi, Unaweza kuta kuna Proffessor wa Umeme na yeye anakubaliana na Kakobe

Hii ndio elimu pasipo maarifa
 
unarukaruka sana mkuu, hoja yako ni ipi sasa?? nilikuelimisha mwanzo kabisa,kwamba 'MWANASIASA' hapa inamaan yake plain....ukaja na ishu za wasomi na professionals kwa Kakobe, kwamba eti hawawezi kuwa manipulated!! Nimekujibu,umebadilika tena!! Unajua maana ya TUHUMA mkuu?? Je,unadhani kikao cha WAZEE 40 hakiwezi kukosea pia?? Au hujui kwamba kikao kinaweza kuwa cha watu wengi lakini mwenye final say akawa mmoja?? By the way, unaweza kutuambia walichoenda kuongea TANESCO? Na unadhani maamuzi waliyochukua kwa sasa ni sahihi?? Soma vizuri hoja yangu mwanzo kabisa,then anza kujibu upya mkuu......

Mkuu, hoja yako ya TANSECO VS Kakobe ni nzuri, ulichokosea ni kuweka sifa negative za kakobe ambazo wengine tunajua hana.

1.umesema ni mwanasiasa zaidi na si mchungaji
2.anacontrol na kumanipulate waumini wake

ungeweka tatizo lililopo na sio kuelezea ishu za politics, manipulation, tangu mrema n.k! hoja zako zimekuwa futile kwa kukueleza jinsi anavyoongoza kanisa lake! ukaendelea kusisitiza kuwa bado pamoja na kuwa na hao wasomi wanaweza wakawa manipulated...ukasema ishu ya sick and soul.Nimekueleza ninavyojua kuhusu sick and soul, kuongeza ujuvi zaidi nimekuomba reference nielewe sick soul correlation to manipulation. Nikakukubalia hoja yako kuwa is possible kuwa kuna watu wana sick and soul kwa kakobe, lakini siyo wote, kwa kusema hivi ina invalidate hoja yako ya manipulation and control ya kakobe! hapa ni logic

Usinichoke, nahitaji kufundishwa na wewe , JF ni kisima cha elimu

Pass me that reference ya sick and soul, hata title tu ya paper au kitabu nitatafuta.

kurukaruka kwangu ni ishara ya uelewa wangu mdogo wa logic and reasoning
 
Tatizo lao hawa wakina mdau siyo kakobe tatizo la hawa ni yule aliye ndani ya kakobe ndiye wanayemtafuta. Hata Yesu walimtafutia sababu ndiyo ije kakobe? Dawa ni kuwasamhehe tu kwani hawajui watendalo

Waberoya, God bless you for standing up with Jesus!
 
Kakobe yupo sahihi kudai na kujua madhara ya kupitisha umeme pale kanisani kwenye umati wa watu wengi hivyo alikuwa sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom