Kakobe - Ishu nzima na wapi hela zinaenda yawekwa peupe

Maswali yote tuliokuwa tunajiuliza kwa muda mrefu sasa, kuhusu Kakobe, yapo peupe. Habari hizo zimemwaga humu cheki link hii:

https://www.jamiiforums.com/habari-...akobe-alipua-bomu-zito-kanisani-kwake-14.html

Y
ote yamo humu, vingine alivyokuwa akifanya siri. Waweza anzia page ya (14).

Ahsante kwa ufafanuzi wenu na wenzako filadelfia na smirna.

Ila mumshauri Askofu wenu ajitahidim kufanya mambo yake barazani, hii ya kufanya mambo makubwa na mazuri kifichoni sio nzuri, ndipo hapo wabaya wake wanapata nafasi ya kueneza uoingo dhidi yake.
 
Mwita, umesema vizuri kuwa askofu kakobe aweke mambo mazuri barazani,ila mimi najua kuwa Kakobe huwa anafanya hivyo kwa washirika wake yaani kuwashirikisha,hawezi kufanya kitu bila kuwashirikisha washirika.Sasa kwa mfano anaposaidia Yatima na Wajane au kujenga kanisa n.k watu wa nje inawahusu nini? mimi binafsi sioni haja ya kuweka hadharani kwani kwetu sisi wakristo tunapofanya jambo tuna hitaji Mungu atukuzwe na sio sisi kutukuzwa na kusifiwa na watu,tatizo kubwa lililopo kwetu waafrika wengi huwa tunapenda kuongelea jambo la mtu bila kuwa na uthibitisho, hivyo huwa nashangaa sana mtu mwingine anaweza kuongelea jambo la mtu ukimwuliza umejuaje anasema niliambiwa na mtu lakini the way anavyo eleza utafikiri alikuwepo na analielewa vizuri jambo husika, ndio maana ndugu zangu tuwe makini katika kutafuta ukweli wa jambo, tupende kutafuta ukweli kabla ya kumzungumzia mtu kwa ubaya tutajipatia dhambi zisizo na sababu.
 
Nakubaliana na wewe, mojawapo ya majukumu ya kanisa ni kutembelea wagonjwa na kuwafariji na kuwqasaidia wanajamii, sasa kama nyie mnafanya kazi hizo kwa kuwalenga waumini wenu tu, mtakuwa mnakosea kidogo. Hata hivyo mkifanya kitu mkaita waandishi wa habari wakashuhudia mlichokifanya haiondoi ukweli kwamba dhamira yenu ni kumtukuza Mungu. Mbona mlikuwa mnatuonyesha saa ya maajabu kupitia start tv tukawa tunashuhudia watu wengi wakitoa ushuhuda, sasa kama ukiicchukua kwa mtazamo hasi utaona kwamba mlikuwa mnafanya makosa. Ama mlipotuonyesha ziara ya Askofu Kakobe kule korea, DRC, Burundi na Zambia mbona haikuonekana kwamba mnajiinua lakini jina la Mungu ndiye aliinuliwa kupitia kwenu. Kakobe ni mtumishi wa Mungu kwahiyo jina la Mungu anainuliwa kupitia kwake.

Mimi ushauri wangu ni kwamba kwakuwa mmezungukwa na watu wa jamii mchanganyiko na wasiojua mnachokifanya na ili mkupunguza hizi speculations, jitahidini kufanya mambo yenu barazani. Vinginevyo muwe tayari kuja kujibu tuhuma hapa kila kukicha.
 
Nakubaliana na wewe, mojawapo ya majukumu ya kanisa ni kutembelea wagonjwa na kuwafariji na kuwqasaidia wanajamii, sasa kama nyie mnafanya kazi hizo kwa kuwalenga waumini wenu tu, mtakuwa mnakosea kidogo. Hata hivyo mkifanya kitu mkaita waandishi wa habari wakashuhudia mlichokifanya haiondoi ukweli kwamba dhamira yenu ni kumtukuza Mungu. Mbona mlikuwa mnatuonyesha saa ya maajabu kupitia start tv tukawa tunashuhudia watu wengi wakitoa ushuhuda, sasa kama ukiicchukua kwa mtazamo hasi utaona kwamba mlikuwa mnafanya makosa. Ama mlipotuonyesha ziara ya Askofu Kakobe kule korea, DRC, Burundi na Zambia mbona haikuonekana kwamba mnajiinua lakini jina la Mungu ndiye aliinuliwa kupitia kwenu. Kakobe ni mtumishi wa Mungu kwahiyo jina la Mungu anainuliwa kupitia kwake.Mimi ushauri wangu ni kwamba kwakuwa mmezungukwa na watu wa jamii mchanganyiko na wasiojua mnachokifanya na ili mkupunguza hizi speculations, jitahidini kufanya mambo yenu barazani. Vinginevyo muwe tayari kuja kujibu tuhuma hapa kila kukicha.
.Mimi nakubaliana na Kakobe kwa njia aliyokuwa anaitumia kuwahudumia wajane, yatima na maskini. Hii ni kulingana na biblia mia kwa mia. Kwa sababu biblia inaelekeza kutoa sadaka kuwe kwa siri. Siri hii inawajumuisha wote wanaotoa na wanaogawiwa. Hukuna haja ya kupiga panda, kwa sababu thawabu haitolewi na watu bali Mungu wa sirini ajuae pia nia ya ndani ya mtoaji. Kanisa linalazimishwa kuendeshwa kama vyama vya kijamii au vya siasa. Sii haki hata kidogo, kwani katiba za tawala hizi mbili ni tofauti. Cha msingi ni uwazi wa kilicholetwa kwa siri(sadaka) kujulikana kwa walengwa na pia matumizi kujulikana na walengwa na sii hata siku moja kwa walimwengu. Kumpa masikini kiroba cha unga na kumpiga picha kuionyesha dunia ni unyanyapaa uliozoeleka kufanya na watu wenye nia ya kujinufaisha na misaada watowayo. Kwingineko wafanye hivyo lakini sii kanisa, maana Mungu amelikataza kufanya hivyo..
 
Ulichokisema kuhusu utoaji ni sahihi kabisa bilblia inasema katika Mathayo 6:3-4 sadaka ni jambo la siri, tena imekazia zaidi kuwa utoapo hata mkono wako wa kushoto usijue, mstari wa nne inasema SADAKA YAKO IWE KWA SIRI NA BABA YAKO AONAYE SIRINI ATAKUJAZI. Katika hilo kanisa lilijua kuwa linafanya hivyo kwa upendo kuwasaidia YATIMA , WAJANE NA MASIKINI sawa sawa na Neno la MUNGU LINAVYO AGIZA, NASIO KATIKA HILO TUU NA MENGINE MENGI IMEKUWA NI SEHEMU YA MAISHA KATIKA KANISA WAKIJUA YUPO MUNGU ANAYEONA SIRINI MWENYE KUTOA BARAKA.
 
.Mimi nakubaliana na Kakobe kwa njia aliyokuwa anaitumia kuwahudumia wajane, yatima na maskini. Hii ni kulingana na biblia mia kwa mia. Kwa sababu biblia inaelekeza kutoa sadaka kuwe kwa siri. Siri hii inawajumuisha wote wanaotoa na wanaogawiwa. Hukuna haja ya kupiga panda, kwa sababu thawabu haitolewi na watu bali Mungu wa sirini ajuae pia nia ya ndani ya mtoaji. Kanisa linalazimishwa kuendeshwa kama vyama vya kijamii au vya siasa. Sii haki hata kidogo, kwani katiba za tawala hizi mbili ni tofauti. Cha msingi ni uwazi wa kilicholetwa kwa siri(sadaka) kujulikana kwa walengwa na pia matumizi kujulikana na walengwa na sii hata siku moja kwa walimwengu. Kumpa masikini kiroba cha unga na kumpiga picha kuionyesha dunia ni unyanyapaa uliozoeleka kufanya na watu wenye nia ya kujinufaisha na misaada watowayo. Kwingineko wafanye hivyo lakini sii kanisa, maana Mungu amelikataza kufanya hivyo..

Mimi nami ninakubaliana na wewe mkuu,nachofanya ni sahihi kabisa kulingana na Biblia "real Bishop" like Kakobe anapaswa kufanya hivyo kwa sababu ni muongozo anaopewa na Mungu
 
Link imekataa kufunguka nadhani wengi tungependa kujua kilichomo kuhusu MTUMISHI WA MUNGU KAKOBE, msaada zaidi kama inawezekana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom