Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
kwanza kakobe ni darasa la ngapi mpaka akosoe waraka ulioandaliwa na wataalam waliobobea?
Nakumbuka wakati anauza kanda za nyimbo pale temeke, sijui kama alienda shule zaidi.
Ha ha ha..kwenye post ya 44 hapa, jamaa ananukuliwa akisema kuwa jamaa alikuwa anaiba nyimbo za watu anazidurufu na kujipatia rizq.. hii ndio bongo zaidi ya uijuayo.
Kaaaz kwerkwer