Kakobe amponza muumini wizarani

Hakuna mwajiri atakayekubali kukaa na mfanyakazi anayevujisha siri au nyaraka muhimu za muajiri yake. dada devotha alikuwa na mapungufu ya kimaadili na hii inawezekana na baadhi ya imani potofu wanazopata huko wanakoabudu

Kwanza naomba tusihukumu juu ya imani ya anakoabudu huyu dada kuwa ni potofu - una uhakika gani kuwa imani yake ni potofu???? wakati wewe unasema ni imani potofu - wengine wanafunguliwa, wanaponywa, wanapata amani, wanapata mahubiri bomba ya kuwaongoza na safari yao ya kwenda mbinguni - zaburi 32

Jiweke kwenye nafasi ya huyo Dada - hata kama anawajibika kwa kaisari - lakini anawajibika kwa Kanisa lake pia - wewe ungefanya vipi??? ina maana hata usikie nyumba ya baba yako mzazi inataka kubomolewa utanyamaza! - kuwa mkweli!!!!

Inaonyesha Boss wa dada Devotha sio makini na kazi yake - boss gani asiyemjua mfanya kazi wake imani yake ni nini??? Kama angekuwa makini basi asingempa Devotha hizo barua/nyaraka kwani ni kumtia dada wa watu majaribuni - yeye bosi ndio anastahili kufukuzwa kazi - anaishi na mfanya kazi wa karibu yake kiasi hicho - wala hamjui - nadhani ni wale arrogant type of bosses!!!

Tanesco nao wamezidi........ hawana mipango madhubuti kwa kazi zao - work without planning - si watumie underground cables???? Kama ingekuwa bar kubwa wangepewa rushwa na wangenyamaza na kupanga vinginevyo - kama kawaida ya taifa hili lililooza kwa rushwa - lakini kwa vile Kanisa haliwezi kutoa rushwa ndio wanawakomalia - shame on them - Kanisa ni mahali pa makimbilio ndio maana hata kwenye vita watu wanakimbilia kanisani - ila wakatili wanaingia hadi humo na kuwaua, na wengi wameshindwa kuheshimu wanachofanya - wanalinganisha Kanisa na Bar au Danguro.
Biblia inasema MAKWAZO HAYANA BUDI KUJA LAKINI OLE WAKE yeye AYALETAYE
- Waumini hawajalazimishwa ila kwa vile wanalipenda kanisa lao ndio maana wako radhi kufanya wafanyavyo - tusiwalaumu wala kuwahukumu ; Devotha ameona moyoni mwake asimame upande wa Kanisa lake - hivyo tusimlaumu - huyo boss siku moja anaweza jikuta akiwa muumini wa hilo hilo kanisa - sijui atasemaje -
Nawasilisha!!!!!!
 
Wewe ulijuaje kama aliitwa akaulizwa maneno hayo maana hizo ni habari zilitolewa magazetini zinaweza kuwa biased vilevile. Kuwa na uhakika na unachokisema na hakuna mtu anayemlaumu huyu dada ishu inakuja tunauliza kama alivujisha siri au la? Kwasababu kama alifanya hivyo then amefanya kosa kubwa sana but kama hajafanya then Tanesco wamemuona mie nadhani lamsingi lipatikane ukweli kabla pande hazijaanza kupambana ndio maana nilipokuwa nabishana na mwenzangu kazini alionekana kuwa na jazba akidhani kuwa nampinga kwakuwa yule dada alikuwa mkristo wakati mie muislamu nikaone mjadala uishe maana itakuja kuwa chuki bure.

Na hapa jamvini tusihukumu kwanza ijulikane amevujisha siri au la!!!!!
 
Kweli ni Slogans nzuri sana maana sasa lazima Kakobe apigane kufa na kupona na mimi siafiki kabisa suala la kupitisha umeme kwenye watu wengi kama hapo. Kakobe pigana mpka mwisho wake
 
Duh! Kaaazi kweli kweli...!
Sidhani hapa kama boss wa huyu dada alitumia udini kwenye kutoa huo uhamisho... Kama kweli alivujisha siri za ofisi na kuvaa fulana za kupiga vijembe ofisi yake basi huyo dada ni mtovu wa nidhamu.... alipaswa kufukuzwa kazi na si kuhamishwa... kuamishwa kwake kunaonyesha upendeleo mkubwa aliofanyiwa na huyo boss wake... huyo dada anapaswa ashukuru Mungu kwa kupata huo uhamisho...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom