LD
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 3,014
- 574
Twende pole pole mshiki, katika imani yako hiyo....kuna kitu chochote uliashaamini asilimia mia kua hii ni sababu ya Mungu baba alie hai? na kama ndio ni nini kilikufanya udhibitishe kua ama kweli huu ni muujiza kutoka kwa Mungu ninae muamini. Maana nielewavyo mimi Ku prove imani sijui kama inawezekana...!!
Ni kweli kuprove Imani ni ngumu sana!!!
Na ndio maana mi naona ngoja nibaki tu na Imani ya mti unaoponya, umegunduliwa na babu!!!
Kwamba ni Mungu amemfunilia, kwa sasa sitasema kitu chochote.