Kakamatwa live!!

Mambo mengine ni kujitakia. Privacy is privacy!! Huyo mwanamke achague kuacha picha zikae ndani ya kamera au afanye uamuzi mwingineo atakaoupenda
mKUU KWA HILI NAOMBA NIKUPINGE... VITU KAMA CAMERA NI VYA WOTE... HEBU IMAGINE KAMA WATOTO NDIO WANGEKUA WA KWANZA KUONA HIZO PICHA ZA UTUPU, SI ANGEADHIRIKA ZAIDI?

huyo jamaa ashuke chini, akane matendo na awe mpole tu, ila tatizo sasa ni aina ya mwanamke, wengine ukikosea basi ni mwaka mzima kelele
 
Nilitaka kusema hivyo hivyo hapo kwenye red aache kabisa hiyo tabia atakufa siku si zake.:clap2:

Kwa nini asimpekue kama anahisi mumewe si mwaminifu? Au kwako wewe ni sawa kwa mumeo kukuchiti ali mradi wewe hujui?
 
Mambo mengine ni kujitakia. Privacy is privacy!! Huyo mwanamke achague kuacha picha zikae ndani ya kamera au afanye uamuzi mwingineo atakaoupenda

Privacy ya nini wakati mko kwenye ndoa? Mkeo au mumeo anaujua uchi wako ulivyo. Anajua harufu ya ushuzi wako. Anajua harufu ya mchacho wa mdomo wako asubuhi uamkapo na kadhalika! Kuna zaidi ya hayo yanayohitaji privacy hadi usitake mumeo ama mkeo asiangalie kamera yako? You are so misguided on the whole concept of privacy in relation to marriage.
 
haiyaa sasa kwanini alimuoa kama bado anaufuska anaoufanya...umenichekesha eti asimpekue mie ntampekuwa mpaka kwenye ukope...si wangu lazma hiyo kumpekuwa mpenz wako abuy..

Usithubutu, kama utakuwa unaipenda ndoa yako. Ndoa ni kama vein diagrams. Kuna area of intersection lakini hata hivyo sehemu fulani ya kila duara lazima ibaki yenyewe.
 
Weka picha tuzione zilivyo then tumpe ushauri... Inawezekana ni Muhudumu wa hoteli, si unajua hotel nyingine wanavaa vinguo kama kwenye "Maid in Manhattan"
 
Naanza kwa kuwashauri wanaJF kuwa wasilazimishe kupata matatizo kama magonjwa ya UKIMWI kwa kushindwa kuwalinda wawapendao kwa kuendekeza eti ule wanaoita uhuru. Ukiona mtu anasema anampa mwenza eti uhuru/privacy ya simu,kamera n.k ni kuendekeza upuuzi na kuja kuishia kujilaumu na kusema ningejua! Pia ikumbukwe kuwa kuna pair za wapenzi ambazo kila mwenzie anajua kuwa mtu wake ni mhuni na ana wapenzi wengi,ndo maana anachukizwa na mwenzie kujua siri zingne. Huo ni uhuni na haujengi. Kwa upande wa uyo mdada,mwambie atumie hekima,uenda mumewe anatafuta watarakiane kijanja ndo anamletea picha izo. Ni vigumu mtu abebe picha chafu kwenye kamera,apeleke nyumbani kumtega mkewe,kama si makusudi,basi mdada uyo awe mjanja ktk tatizo ilo!
 
mmmmhh basi yatanishinda kama ndio hivyo....sasa jee nikifuma bahati mbaya hata kama nilikuwa simfatillii nifanyeje huo ni mfano tuu??
Usithubutu, kama utakuwa unaipenda ndoa yako. Ndoa ni kama vein diagrams. Kuna area of intersection lakini hata hivyo sehemu fulani ya kila duara lazima ibaki yenyewe.
 
Labda hiyo kamera alimuazima mtu mwingine wakati yupo safarini na ndio akapiga hizo picha! Umakini unahitajika katika kuhukumu kesi hii
 
Weka picha tuzione zilivyo then tumpe ushauri... Inawezekana ni Muhudumu wa hoteli, si unajua hotel nyingine wanavaa vinguo kama kwenye "Maid in Manhattan"
Hapana zitaleta kizaazaa zikiwekwa hapa, labda huyo dada anafahamika na wanajf? Au huenda ni ndugu yako, si itakuwa balaa!
 
inaelekea mumewe ni mwana jf labda alikuwa anatafuta picha za kutundika kwenye jukwaa letu lileeeeee!!!!!!
 
Naona suala limegeuka kuwa privacy na si mazingira yanayoashiria mwanamme alienda nje ya ndoa yake........mtoa mada hajaileta topic mje mjadili privacy bali anaomba ushauri wa nini afanya baada ya kugundua mumewe anacheat:coffee:
 
1+1=2 sasa anataka jibu gani tena hapo, akizidisha maswali mumewe atamjibu hua anacheza picha za ngono ndo atazimia na atalazwa kabisaa hosptal.
 
the other side wanaume wenzangu. km nkeo ndo kasafiri karudi na camera km hivyo halafu unakuta picha za marijali hawana hata kitambi km wewe halafu wa vitu vya kufa mtu kuliko ya kwako ndo kawapiga picha na mabegi yake na panty yake inaonekana halafu unamuuliza mkeo anasema uache kumchunguza UTAFANYA NINI TUWE WA KWELI HAPA.
 
Hayo mafaili ya picha yalikuwa tofauti kabisa tatizo camera ya jamaa ina matatizo ya kuchanganya mafaili ndo maana picha za mabegi zimekutwa hukuuuu. Mambo ya teknohama bwana !!!
 
Labda hiyo kamera alimuazima mtu mwingine wakati yupo safarini na ndio akapiga hizo picha! Umakini unahitajika katika kuhukumu kesi hii

na huo ushahidi wa kimazingira? Na hyo room yake alimuachia mtu mwingine?Imagine ni mumeo/mkeo . Utachukua hatua gani?
 
Binafsi nimeziona hizo picha, kwa kweli inataka maelezo ya kina kueleweka, inaonekana jamaa alikuwa anachukua wadada tofauti tofauti, na mazngira ya hiyo rum na baadhi ya vitu viko wazi kama nguo zilizotundikwa, mabegi, nk. Na hiyo kamera ni ya familia walipewa zawadi ya harusi. Inaonekana jamaa alisahau kuzitoa ziko 25, za siku tofauti.
 
:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:

Back
Top Bottom