Kakamatwa live!!

chetuntu

R I P
Jan 10, 2011
949
109
Habari wanajamvi,poleni na wkeend. Katika pitapita zangu wkend hii nimekutana na mwanadada mmoja kwa maelezo anahitaji ushaur kabla mambo hayajaharibika. Huyo dada amekuta picha za utupu za wanawake kwenye kamera ya mumewe ambae alikuwa safarin kwa mwezi mmoja. Kibaya hizo picha zinaonyesha mazingira, vitu kama mabeg ya mumewe yanaonekana wazi. Amemuuliza kama kawaida amekana vibaya na kamera anayo huyo dada. Ushauri wanajamvi hatua za kuchukua .Nawasilisha.
 
Ndoa zina kazi!!Amuulize taratibu kwa upole labda atamwambia!Kama inaonyesha vitu vya mumewe vilikuwepo kwahiyo nae alikuwepo!Cha msingi ni kupata uhakika then aamue kama anaweza kusamehe na kusahau au kuachana nae!
 
Habari wanajamvi,poleni na wkeend. Katika pitapita zangu wkend hii nimekutana na mwanadada mmoja kwa maelezo anahitaji ushaur kabla mambo hayajaharibika. Huyo dada amekuta picha za utupu za wanawake kwenye kamera ya mumewe ambae alikuwa safarin kwa mwezi mmoja. Kibaya hizo picha zinaonyesha mazingira, vitu kama mabeg ya mumewe yanaonekana wazi. Amemuuliza kama kawaida amekana vibaya na kamera anayo huyo dada. Ushauri wanajamvi hatua za kuchukua .Nawasilisha.
Kama amekataa hana njia nyingine ya kumlazimisha. Lakini aache tabia ya kumpekuapekua mumewe.
 
Hawaaminiani? Anatafuta nn kwenye vitu vya mumewe? Thats why I dont understand the role of vows people say during their wedding days.
 
No comment wadau, maana inawezekana hata simu yangu iko na vitu ndivyo sivyo, jamani utandawazi ni noumer
 
Mambo mengine ni kujitakia. Privacy is privacy!! Huyo mwanamke achague kuacha picha zikae ndani ya kamera au afanye uamuzi mwingineo atakaoupenda
 
Hawaaminiani? Anatafuta nn kwenye vitu vya mumewe? Thats why I dont understand the role of vows people say during their wedding days.

Hivi camera ni vitu vya mumewe au ya familia???Kwanini kuangalia kwake ndo kuwe kavunja vows na sio mume kwenda kua na kufanya vituko huko????:twitch:
 
amwambie mumewe azifute mambo yasihe kwa sababu kama ni kusafiri atasafiri tena tu
 
Natamani kungekua na sheria inayowanyima baadhi ya watu kuoa/kuolewa maana wanachofanya ni kusababishia wenzao maumivu ya moyo tu!

Hizi sheria zipo, sheria ya ndoa inatamka wazi kwamba, ndoa haiwezi kufungwa mpka itangazwe siku 21. Kama kuna pingamizi, pingamizi hilo linapaswa kuwasilishwa mapema iwezekanavyo, na ndoa hiyo haitafungwa.
 
Mambo mengine ni kujitakia. Privacy is privacy!! Huyo mwanamke achague kuacha picha zikae ndani ya kamera au afanye uamuzi mwingineo atakaoupenda

Nafikiri tusijump tuu na kutoa hukumu bila kupata info zaidi. Aliyeweka hii thread hajatoa maelezo ya kina kuhusiana na hiyo sakata. Hatujui mmiliki wa wa hiyo kamera ni nani. Ni kamera ya familia? Au ni kamera ya mwanamke ambapo mwaume aliazima? Amesema tuu kamera ya ya mumewe. Hiii inaweza kuwa na maan nyingi. Hata kama ni kamera wa mwanaume, hatujui mwanamke ameipataje mpaka akaangalia hizo picha. Pia hatuna the other side of the story. Who knows, may be mwanaume ameziweka hizo picha makusudi?
 
haiyaa sasa kwanini alimuoa kama bado anaufuska anaoufanya...umenichekesha eti asimpekue mie ntampekuwa mpaka kwenye ukope...si wangu lazma hiyo kumpekuwa mpenz wako abuy..
Kama amekataa hana njia nyingine ya kumlazimisha. Lakini aache tabia ya kumpekuapekua mumewe.
 
Back
Top Bottom