Kaka yangu anatembea na mama mkwe wangu

kesi Hipo,
kwa sababu huyo Kakake sasa atakuwa ni Babamkwe wake, na Watoto wa Kakake sasa watakuwa mashemeji zake, Na Mkewe anamwita huyo kaka ya Mmewe kuwa ni Babayake na watoto wa wa huyo shemeji yake watakuwa wadogo zake
Kaaaaaazi kwelikweli

tena si kazi ndogo, ni shughuli pevu
 
Angekuwa babako ndo kafanya hivyo hapo hakuna shida, yaani kaka yako anamkula mama mkwe wake Ni aibu kabisa hata kama ni mtu mzima lazima heshima iwepo Sasa hapa mama mkwe wako atkuwa anakuonaje hapo nyumbani kwa mfano! Tena wanafanyia nyumbani kwako mambo ya laana kabisa hivi ndo vitu vinasababisha hata mikosi kwenye familia halafu mnatafuta mchawi
 
Naishi dar, brother wangu mkubwa ambaye ni mstaafu kaja kufuatilia madai yake. Nyumbani kwangu anaishi pia mama wa mke wangu.

Juzi nlipotoka kwenye mizunguko na kurudi nyumbani mida ya saa tano asubuhi niliwakuta live wakilimega tunda.

Kwa kweli kaka yangu ni mtu mzima ambaye kwa umri kamzidi hata mkwe wangu. Lakini hii siielewi, matokeo yake nimejikuta mi ndo naona aibu hata kuwaangalia.
Uliwakuta seblen au
 
Mrejesho
 
Jifunze kuheshimu wakubwa.
Mke wako ameshajua au bado?
Mama mkwe anaona aibu au Yuko macho makavu Kama vile hajafanya kitu?
 
unashangaa hilo dogo

Kuna mwamba Katafuna familia Zima na anaendelea

Aliyepona baba mkwe pekee
 
Mke wako alikuwa wapi? Na vipi mazingira ya nyumba yako yakoje? Ina vyumba vingapi? Je wote wewe na mke mnatoka mnawaacha pekee yao?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom