Kaka yangu anataka kunioa

Katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzani ya mwaka 1971 inaeleza kuwa ndugu wa kioana adhabu yao ni miaka 2 jela, bora waendelee kumegana kwa siri, mmoja akipata mwenza kumegana kukome, wasiende kuwaeleza wazazi wanaweza kupata laana.
 
Katiba ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzani ya mwaka 1971 inaeleza kuwa ndugu wa kioana adhabu yao ni miaka 2 jela, bora waendelee kumegana kwa siri, mmoja akipata mwenza kumegana kukome, wasiende kuwaeleza wazazi wanaweza kupata laana.

Duh?? hapo kwenye maandishi mekundu. Au waongelea Criminal Code ya Tanzania as amended by SOSPA?
 
Hebu nitake radhi.Mimi ni dada yako toka lini? Au ndo talaka zinavyoanzaga hivi?
Samahani mpenzi, ulimi uliteleza!

mama mbona hujawahi kunitambulisha kwa mkwe wangu!!??
:eek::eek::eek:

Nisamehe Dady.Chrispin ndio mchumba wangu na tulikuwa tunajiandaa ili nije nimtambulishe kwako.ni vile umeniwahi tu.Ila Nitamleta rasmi umtambue.
Umwambie kabisa nikija nachotaka nijue mahari ni kiasi gani! Siyo kutambulishana tena!
 
Hii ni reflection ya matatizo ya malezi, wazazi wawili wanalalana katika chumba kimoja kwa kufikiri kuwa watoto wamelala, na watoto nao wanajaribu, sasa nendeni kwa DC mukaoane maana ndio ushaanza kumpa, halafu watoto mutawaitaje? Wajomba?
 
Was the world populated through incest or did God create others besides Adam and Eve?

While some understand the reference to Adam in Genesis to be a general reference to mankind as a whole or the creation of more than one couple, most conservative scholars reject such a view and understand the Genesis account to refer to the creation of a literal Adam and Eve as a single couple. This is further supported by the NT. For instance Paul understood the OT to refer to a literal Adam and Eve (see Rom. 5:14; 2 Cor. 11:3; 1 Tim. 2:12-13). He clearly understood the reference to Adam and Eve to the first man and woman.

As to incest, it was not considered a sin and was not prohibited for Adam and early man. If the race was to populate and fulfill the command of Gen. 1:28, there is little doubt that Adam’s sons and daughters had to have married their own sisters and brothers if the race was to populate the earth, but due to the purity of the race as evidenced also by the long length of life, there were no adverse effects as we see happening today. Gradually, as the effects of sin took its toll on the human race, marrying one’s own sister, etc., began to create hereditary problems.

Though by many inerrantists the question of where Cain got his wife would not be considered a problem at all, this question is often used by those who try to demonstrate that the Bible is unreliable in what it claims. How could it claim that Adam and Eve were the first human beings who had two sons, one of whom murdered the other, and yet who produced a large race of people? Clearly, the Bible does teach that Adam and Eve were the first created human beings.

The Lord affirmed this in Matthew 19:3-9. The genealogy of Christ is traced back to Adam
(Luke 3:38). Jude 14 identifies Enoch as the seventh from Adam. This could hardly mean the seventh from “mankind,” an interpretation that would be necessary if Adam were not an individual as some claim. Clearly, Cain murdered Abel and yet many people were born. Where did Cain get his wife?

We know that Adam and Eve had other sons and daughters in addition to Abel, Cain, and Seth (Gen. 5:4), and if there was only one original family, then the first marriages had to be between brothers and sisters. Such marriages in the beginning were not harmful. Incest is dangerous because inherited mutant genes that produce deformed, sickly, or moronic children are more likely to find expression in children if those genes are carried by both parents. Certainly, Adam and Eve, coming from the creative hand of God, had no such mutant genes. Therefore, marriages between brothers and sisters, or nieces and nephews in the first and second generations following Adam and Eve would not have been dangerous.

Many, many generations later, by the time of Moses, incest was then prohibited in the Mosaic laws undoubtedly for two reasons: first, such mutations that caused deformity had accumulated to the point where such unions were genetically dangerous, and second, it was forbidden because of the licentious practices of the Egyptians and Canaanites and as a general protection against such in society. It should also be noted that in addition to the Bible most other legal codes refuse to sanction marriages of close relatives.

But here is another issue to consider. If one accepts the evolutionary hypothesis as to the origin of the human race, has that really relieved the issue of incest? Not unless you also propound the idea of the evolution of many pairs of beings, pre-human or whatever, at the same time. No matter what theory of the origin of the human race one may take, are we not driven to the conclusion that in the early history of the race, there was the need for intermarriage of the children of the same pair?

Source: http://bible.org/question/was-world...or-did-god-create-others-besides-adam-and-eve
 
Mimi ni msichana wa miaka 23, nina kaka yangu baba mmoja na mama tofauti. Yeye ananipenda na mimi nampenda na tumekwisha wahi kufanya mapenzi mara kadhaa. Yeye ameahidi kuwa atanioa. Sisi ni Waislamu, je ni sawa tunachokifanya kama sio sawa tufanyeje?"

Jamani huyu dada na kakae wanapepo la ngono,maandiko matakatifu hayaruhusu kabisa swala la kuoana.kuvuliana nguo na nduguyo ni ufirauni na wanastahili kuchapwa viboko hadharani
 
Nisamehe lovie si kwamba nimeanza siasa kali hapana laaziz
Nimesema kwa kuwa nimewaona wengi wanafanya ya hivyo nikadhani inaruhusiwa kumbe wafanyao ni mahulka yao tu!!

Mie wangu alitoka na mtoto wa mjomba wake kabisa!! au ndo mambo ya Binamu nyama ya hamu?

...you are pardoned mydear, :)
Hao 1% wenye 'siasa na misimamo mikali' waachie na ma IQ yao bana, hizi IQ sumtimes huzidi maarifa na busara zake.

Hilo neno 'binamu nyama ya hamu' kwa kweli ni msemo mgeni kidogo kwangu, hauna hata mwaka mmoja angu nimeanza kuusikia, bado sijaelewa tafsiri yake vizuri ;)

 
Jamani hii dunia mi imenishinda kabisa.Sasa wanataka ushauri wa nini mbona kalba hawajaamua kufanya mapenzi hawakuja kuomba ushauri?
 
Nisamehe Dady.Chrispin ndio mchumba wangu na tulikuwa tunajiandaa ili nije nimtambulishe kwako.ni vile umeniwahi tu.Ila Nitamleta rasmi umtambue.

Sawa mama nimekuelewa, wala sina wasiwasi na kauli yako.
Ila watoto wa siku hizi mnanishangaza sana, yaani juzi juzi tu ndo umemaliza "ka-form four" tayari unalilia kuolewa?
Any way, bora nichukue changu mapema, mlete tu mama!!
 
hapo munakufuru kweli mwalana wenyewe kwa wenyewe la hashaa nyie sio ndugu waulizeni wazazi wenu kunanamna haiwezekani mmhn
conquest
 
Samahani mpenzi, ulimi uliteleza!

:eek::eek::eek:

Umwambie kabisa nikija nachotaka nijue mahari ni kiasi gani! Siyo kutambulishana tena!

Bwashe uje ukiwa umejiandaa vizuri kabisa babaangu,
Hapa hatuangalii sura wala hilo stauti lako, mi nataka ng'ombe tuuu!!
Siunaona binti yangu alivyokuwa amesoma eeh, gharama yote ya kumsomesha lasima irudi!! Tena nimekumbuka kitu, usisubutu kuja eti kujitambulisha kabla sijachukua ng'ombe, hiyo maneno yenu ya kutambulishana mnaijua wenyewe.
 
Mmh huu ni ujasiri wa ajabu ... unafanya madudu badala ya kutubu unaomba ushauri!


Annina
 
Kariri neno hili la hekima: "ukishavunja mwiko, mengine yote yanakuwa halali"![/QUOTE]
MMKJJ,
Umemaliza kila kitu.Hawa watu wawili inaelekea walikataa kitu kinachoitwa "maadili" tangia mwanzo.Haiingii akilini ni vipi walianza hadi kuvuliana nguo mtu na kaka hata kama siyo mama mmoja! Inashangaza ni vipi waliamua kukaziana macho wao wawili wasiweze kutizama nje ya familia.

Inaelekea labda hata kitu kinachoitwa dini kwao hakipo kabisa maana kwa kumuogopa Mungu ingetosha kuwafanya wakae mbali na matamanio yao . Ninatamani kujua umri wao maana kama wangekuwa watoto labda wangekemewa na kuambiwa acha! haifai! Lakini kama wanawaza kuhalalisha kwa kuoana basi huenda wanao umri wa kutosha.

Wewe ndugu unayewaombea ushauri hapa, nenda kawaambie wasithubutu... waache kabisa - ni chukizo kwa Mungu na Kaisari ( Serikali) - sheria ya incest itawapeleka lupango wasipoangalia!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom